Wanajeshi wa Urusi watimua mbio na kutelekeza mtambo wao

5525

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
5,412
6,273
Ni baadhi ya mitambo iliyotelekezwa hapo jana katika mashambulizi ya Wanajeshi wa Ukraine mpakani na Urusi ambapo Ukraine wamefanikiwa kuukombo mji wa Khakiv kwa mafanikio makubwa sana

fa6a93f0-b37e-4fe7-b19b-1a70acaaf62f.jpg
 
Ngoja itangazwe vita kamili ndio mtajua Urusi ni nani!
Bado una matumaini tu na Mrusi kuja juu tena? unaambiwa Mrusi amebaki na jeshi la kulinda nchi yake tu kwa sasa hana tena wanajeshi wa akiba kwenda kuwaulisha ovyo ovyo Ukrean,

Alienda Iran kutaka msaada wa silaha akatolewa nje, North Korea pia, juzi kati alipeleka ukrean hadi wafungwa wa magereza wakapigane na jeshi la Ukrean pia amechemka, hiyo vita kamili ataitolea wapi? mitambo yao ndio kama ivyo inatelekezwa askari wake wana wania roho zao na maisha yao wanakimbia,

Sasaivi amebakiwa na silaha za maangamizi tu kama nuclear na jamaa wako macho sana wanamfatilia nyendo zake vizuri sana akikiwasha tu anashushiwa zaidi ya heroshima, Mrusi ni moga sana na jana kakiri mwenyewe anasema Ukrean hapigani peke yake na kama anapigana peke yake angekwisha maliza kazi, sasa mrusi analitambua hilo kwanini haingii mzigoni kushambulia marekani ama ulaya wakati kabla alikuwa hamezi mate kwamba akibaini hivyo atatangaza vita kamili na kushambulia Marekani ama kitovu cha ulaya?
 
Maelezi mengi na pumba ni nyingi vile vile!Nimesema hali inavyoenda,Russia anaweza kutangaza vita kamili dhidi ya Ukraine!Sasa hayo ya kitovu Cha ulaya au Marekani umeyatoa kwenye maelezi ya nani?Mi sijasema hivyo!
Propaganda zimekuwa nyingi,mara chakula,mara silaha,mara wanajeshi wameisha!
Lakini endeleeni kusubri huyo Ukraine akomboe Donbas!
 
Atangaze vita mara ngapi,

Hilo neno " special military operation" ni geresha tu
 
Maelezi mengi na pumba ni nyingi vile vile!Nimesema hali inavyoenda,Russia anaweza kutangaza vita kamili dhidi ya Ukraine!Sasa hayo ya kitovu Cha ulaya au Marekani umeyatoa kwenye maelezi ya nani?Mi sijasema hivyo!
Propaganda zimekuwa nyingi,mara chakula,mara silaha,mara wanajeshi wameisha!
Lakini endeleeni kusubri huyo Ukraine akomboe Donbas!
Donbas imekombolewa maeneo mingi tayari Khakiv jana job well done na baadhi ya miji mingi, Crimea itakuwa ya mwisho kukombolewa kwa mujibu wa Zelensky, Kutangaza vita kamili kwa taifa la Russia maana yake ni sawa na kusema ndio mwisho wa Taifa linaloitwa Urusi na Putini analijuwa hili fika hatajaribu kufanya kosa hilo kama anawajali raia wake na nchi yake
 
Nasema hakuna wa kuigusa Urusi!Ukraine anafanya SMO tu,akiona upepo unabadilika basi inakuwa Vita!Na hapo ndio Ukraine hakuna rangi ataacha kuona!
 
Mrusi anarudisha majeshi nyuma ili aanze kurusha makombora,,, kafanya hivyo ili kuwalinda wanajeshi wake kwanza.........jamaa wanabadilisha tu formation kwa sasa hii vita mambo bado kabisa.......
Hadi Ukraine wenyewe wameanza kuomba makombora ya masafa marefu ili waweze kupiga ndani ya urusi maana mrusi sahivi atakua anarusha tu makombora kutoka hukohuko nyumbani kwahio lazima wanajeshi wake awaondoe kwanza ,, plan zimebadilika tu ila moto bado upo palepale
Screenshot_20220913-115420_RT News.jpg
Screenshot_20220913-115552_RT News.jpg
Screenshot_20220913-115605_RT News.jpg
Screenshot_20220913-120304_RT News.jpg
Screenshot_20220913-120318_RT News.jpg
 
Back
Top Bottom