Hawa sio kwamba wametoka magerezan mkuu?Ndio wapiganaji hao wanajitokeza. Sio wanajeshi hivyo hawako physically fit, walikuwa na maisha yao mengine uko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa sio kwamba wametoka magerezan mkuu?Ndio wapiganaji hao wanajitokeza. Sio wanajeshi hivyo hawako physically fit, walikuwa na maisha yao mengine uko
Tulitegemea Russia angemaliza game mapema ila matokeo yake ni tofauti.Nilijua vita imeishaisha siku nyingi. Kumbe bado inaendelea, nilikuwa porini nachoma mkaa miezi 2 na wiki 3 sasa.
Ha ha ha ha ha ha haHizi ni propaganda tu wala siamini. Walisema Russia ana silaha nyingi tena kali kuliko nchi zingine. Anashindwa kuipiga Ukraine?
Sasa hivi hana kisingizio, raia karibia wote wameshatoka Ukraine, wamebaki wanajeshi. Anashindwa kushusha kombora akamaliza vita chapu tu.
Miezi mingapi anapigana vita na Ukraine?
Hii vita Russia alikurupuka 100%, alifikiri ataipiga Ukraine kwa muda mfupi tu.
Ni sawa na kumkamia, mwanamke unachomeka unapiga tak mbili wazungu haooo, hapo mwanamke hamu ndiyo imeanza. Unajifuta, unakunywa maji, unavuta hisia tena, huku unasugua mashine, inasimama huku imelegea. Unaweka tena. Ndani ya dk 1 wazungu haoo, unaanza kusingizia muda mrefu haujafanya na sababu kibao. Kumbe gemu ni ngumu
Wagner ni ..Private Security company...ambao anapata contract za ulinzi ...sasa wao kuajiri ni sawa na Garda world hapa akatangaza kwenye mabango anaajiri ...hivyo WION kuitumia hii kama reflecton ya Jeshi la Serikali its totally misleading....100%. Huwaga sina story za kubumba Mkuu naongea kitu Kwa facts na evidence
Inashangaza sana. Hii vita Putin alikurupuka 100% na ilikuwa haina ulazima wowote wa kupigana vita. Amefaidika nini Russia mpaka sasa?Tulitegemea Russia angemaliza game mapema ila matokeo yake ni tofauti.
Wengi wanamuona zele kama kibaraka wa west ktk hili, wasichujua ni kwamba toka miaka ya nyuma kabla ya Zele, Marais wote walikuwa wakipinga Ukraine kutawaliwa na Russia, na hii inatokana na raia wenyewe kukataa.Kweli kijeshi Russia yupo mbali ukilinganisha na Ukraine ila kama kweli raia wa Ukraine hawataki kutawaliwa na Russia basi Russia hawezi kuikalia Ukraine.naona ya Vietnam yana jirudia mkuu.
Na bado ataendelea kukomaa, kwa upepo wa sasa, karata hazipo upande wake. Ile kasi ya mashambulizi imepungua mno, nafikiri anajipanga upya kisilaha na kiuchumi haswa.Inashangaza sana. Hii vita Putin alikurupuka 100% na ilikuwa haina ulazima wowote wa kupigana vita. Amefaidika nini Russia mpaka sasa?
Huu ni mwezi wa 9 itafika mwezi wa 12 bado tu anakomaa.
Mobilization ya raia kwa kawaida kukuta watu kama wenye vitambi kitu cha kawaida kabisa. Kwenye WW2 waliitwa Partisans Poland waliisumbua Nazi Germany na USSR ilikuwa nao wengi sana ndio maana wapiganaji wake walikufa wengi kwenye battlefield. Some of them walienda weka rekodi mfano Vasily Zaitzev alikuwa mwindaji uko Siberia. Ila hawakuwa vitambi kama hawa na kawaida ya partisans huitana na kupeana mob psychology unakuta walikuwa waashi wa eneo fulani wamebebana uko wakajiandikisha.Hawa sio kwamba wametoka magerezan mkuu?
Hizi ni propaganda tu wala siamini. Walisema Russia ana silaha nyingi tena kali kuliko nchi zingine. Anashindwa kuipiga Ukraine?
Sasa hivi hana kisingizio, raia karibia wote wameshatoka Ukraine, wamebaki wanajeshi. Anashindwa kushusha kombora akamaliza vita chapu tu.
Miezi mingapi anapigana vita na Ukraine?
Hii vita Russia alikurupuka 100%, alifikiri ataipiga Ukraine kwa muda mfupi tu.
Ni sawa na kumkamia, mwanamke unachomeka unapiga tak mbili wazungu haooo, hapo mwanamke hamu ndiyo imeanza. Unajifuta, unakunywa maji, unavuta hisia tena, huku unasugua mashine, inasimama huku imelegea. Unaweka tena. Ndani ya dk 1 wazungu haoo, unaanza kusingizia muda mrefu haujafanya na sababu kibao. Kumbe gemu ni ngumu
Hilo ni Jimbo moja wapo kama St Petersburg inachukuliwa yote Ila nyie mashoga tutawaua wote kwanzaWe ndo shoga ambapo hata uwezo wa kufikili umeishia hapohapo unaweza ushoga muda wote.Ukraine inatak nchi yao tu .
Mbona unaongea kinyonge sana, mwambieni Zelensk asalimu amri na hao mabwana zake wanaompampTulitegemea Russia angemaliza game mapema ila matokeo yake ni tofauti.
Mbona kabla ya Vita hakuajiri?! Na hayo mabango mbona hayakubandikwa kabla ya Vita?! Mbona hao wafungwa hawakutolewa wakapigane kabla ya Vita?!Wagner ni ..Private Security company...ambao anapata contract za ulinzi ...sasa wao kuajiri ni sawa na Garda world hapa akatangaza kwenye mabango anaajiri ...hivyo WION kuitumia hii kama reflecton ya Jeshi la Serikali its totally misleading....
Good news
LIVE
Open the menu

LIVE UPDATESLIVE UPDATES,
Russia-Ukraine live news: Belarus war games at Poland border
A psychiatric hospital heavily damaged after a Russian attack in Kramatorsk [Kostiantyn Liberov/AP Photo]
By Joseph Stepansky
Published On 8 Sep 20228 Sep 2022
Click here to share on social media
Russia-ally Belarus has launched military exercises near its border with Poland. The drills will focus on “liberating territory temporarily seized by the enemy” and regaining control over border regions, the defence ministry said.
The US has accused Russian forces of forcibly deporting Ukrainians to Russia, in Washington’s latest allegation of war crimes in the wake of the invasion of Ukraine.
Read more
Huwezi kuwa na hio habariLini?! Sikumbuki kama kuna hiyo habari naomba link nijikumbushe Mkuu
Ni sawa. Dunia ya sasa imebadilika sana siyo ya kipindi kile ya vita ya 1 & 2 ya dunia ambapo teknolojia ilikuwa chini sana. Sasa teknolojia imekuwaURUSI ndo taifa la kwanza kupigana na Dunia