Wanajeshi wa Rwanda wawaua wanamgambo wa Kijihadi Msumbiji

Sisi Tanzania msimamo wetu uko palepale maana kustawi kwa amani katika eneo hilo la msumbiji ni kitisho kwa mradi wetu wa gesi kule mtwara
Na inasemekana wengine ni vijana kutoka miji jirani na Msumbiji, bahati mbaya, wengine wanaongea kiswahili.
 
Wanyarwanda wamebuni chanzo kingine cha mapato, Wanalipwa kwa kupeleka wanajeshi kwenye misheni kama hizo. Ndio maana vinchi maskini kama Burundi vinakimbilia hizo fursa, ingawaje cha moto wanakipata.
Check Rwanda niyangapi duniani kwa kulinda amani,na ndio wanapewa hizo fursa wakiwa wakwanza.
 
Mnakurupuka kukomenti bila kujua wakina nani hao, wametumwa na nani kuuwa watu wasio na hatia., huwa munakimbilia direct kuwatuhumu waisilamu bila kuwa na ushaidi kamili

Hebu tupatie ushahidi kama hao ni waislamu wakweli, na je Uislamu umetuamrisha kufanya huo ujinga!!! Lete ushahidi na aya kutoka kwenye Quran tukufu.
Hahahah hamjijui
Mbona hamjawahi kusimama kuwapinga kwamba hao sio wenzenu
Sio nyinyi ambao mnasemaga Mnataka kuingoza dunia kiislam
Sio ninyi mnaosema nchi inaendeshwa kikristo wakat serikal ina viongozi wa dini aina zote

Sio ninyi mnaowaita wakristo wote ni makafiri
Na mwisho wao ni moto wa jehanam

Kama wana chinja watu na kumuonesha allah vichwa na mmekaa kimya bila kukemea
Kwenu mnaita ndo kutangaza dini na kujizolea miswawabu

Sio ninyi mnao comment ujinga kwenye channel za wakristo

Mimi ni nafuatilia sana pande zote ninyi mna ujinga mwingi
Huyo mazinge mnaemsifia na kumuombea pepo alishawahi kusema kwenye kuua ni sahihi kama una tafuta haki

Na ndo maan mna amin haki ni kuua wa kristo wote ili msimamishe uislam kama unabisha nikuletee link
 
Hicho wanachokifanya hao wanamgambo sio sahihi, uislamu haujaagiza kufanya hayo isipokuwa kwa haki.

So Nimekuomba aya katika quran inayohalalisha kuuwa wasio na hatia. Naomba uilete iyo aya, usikimbie.
 
Sasa kwanini wakiuawa unakuja kutetea hapa eti hawana hatia

Mbona unaongea pumba
 
Nimetumiwa clip wakichinja wakristo roho imeniuma sana. Waafrica tunauana kwa ajili ya dini????? Mbona muarabu asiue muarabu mwenzake au Mzungu asiuwe mzungu mwenzake kisa dini. Hizi tumeletewa tu
 
Mnakurupuka kukomenti bila kujua wakina nani hao, wametumwa na nani kuuwa watu wasio na hatia., huwa munakimbilia direct kuwatuhumu waisilamu bila kuwa na ushaidi kamili

Hebu tupatie ushahidi kama hao ni waislamu wakweli, na je Uislamu umetuamrisha kufanya huo ujinga!!! Lete ushahidi na aya kutoka kwenye Quran tukufu.
Hapa kama hutetei unafanya nini
 
Sisi Tanzania msimamo wetu uko palepale maana kustawi kwa amani katika eneo hilo la msumbiji ni kitisho kwa mradi wetu wa gesi kule mtwara
you have spoken the TRUTH, its there are romours that its tz that is sabotaging this gas project in mozambique, thats according to some intell, reports from some credible sources
 
Back
Top Bottom