Mwanajeshi alieasi Korea abainika kushambuliwa na Minyoo

Jifaliji tu!!
Hizo ni fitna..wenzetu wana vyombo vya habari vinavyojali maslahi ya nchi na kila aina ya satelite angani..ukiwa adui wao wanaweza wakatangaza chochote na kuaminisha dunia kuhusu nchi yako...Korea hatumii teknolojia yoyote kutoka nchi za nje kuanzia internet na mambo mengine, hizo taarifa wamepata wapi..sijifariji najaribu kuwaza tu mkuu kwamba mtu afanye majaribio ya nuklia alafu majembe yake ashindwe kuyapa tiba hata kama kweli yana minyoo
 
Back
Top Bottom