wanajeshi (marines) wa Urusi wakionyesha manjonjo yao leo (NAVY DAY)

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
z_c330ab19.jpg

z_f07de68e.jpg
z_6da6a048.jpg
z_2a130597.jpg
3320889_large.jpg



denfmf2010_06.jpg

05f-neptune-day-navy-day-sevastopol.jpg

vmf_day-052.jpg

129721_93.jpg

denfmf2010_08.jpg

vmf_day-031.jpg


vmf_day-008.jpg

3320889_large.jpg

vmf_day-015.jpg

05e-neptune-day-navy-day-sevastopol.jpg

581036_468469556505151_137669095_n.jpg
319439_468469506505156_2065066833_n.jpg

376672_468469529838487_1694698627_n.jpg
479928_468469659838474_1938953097_n.jpg

422210_468469696505137_611323656_n.jpg


576102_468469433171830_1615244382_n.jpg

302487_468469463171827_746799102_n.jpg

174835620.jpg
 
Hawa jamaa kwanini hatukuwaita kuja kutusaidia kuokoa watu kwenye hizi mashua zetu? But they are really soldiers!
 
Kiboko yao ni KURKS au Nyambizi ileee iliwalipukia na kuwaua kibao tu hahahahhaah

yap kumbe unakumbuka..na rais aliwaambia kuwa hatawajibisha mtu kwa uzembe kama ulifanyika kwani walishajiwajibisha wenyewe
 
kwa hapa bongo labda miaka 300 ijayo..

sio hivyo ...japo nakubaliana na wewe kila kitu ni kujipanga na kuwa na wanasiasa wazuri ambao hawajali matumbo yao ambao wanaipenda nchi yao na hawaweki matumbo yao mbele..tukishakuwa na watu wanaofanya kazi kwa maslahi ya taifa basi haya mambo yote tunaweza kufanya ..kwani ni kitendo tu cha ku import technology ....

mfano wewe angalia eti muhimbili unaambia wamshien ya SCAN haifanyi kazi lakini ukiangalia VX AMA V8 moja unawezaq kununua mashine nyingine mp-ya kabisa ..lakini no one cares...
unafikiri hapo kuna kusonga mbele hata siku moja? tutaishia kuwa hivi hivi na kila mwanasiasa ama msimamizi wa rasilimali zetu atataka kushiba yeye tu bila kunufaisha jamii nzima.
 
Back
Top Bottom