Wanajeshi 33 wauawa na wapiganaji wa Dola ya Kiislamu

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,000
9,862
Wanajeshi 33 wa kambi ya jeshi Mainok katika jimbo la Borno wameuawa na wanaodhaniwa kuwa wapiganaji wa dola ya kiislam (IS).

Wanamgambo walifika kambini hapo kwa kuvaa nguo za jeshi na kutumia magari ya jeshi na kufanikiwa kuidhibiti kambi kwa saa kadhaa.

Dola ya Kiislam Jimbo la Afrika Magharibi walijitenga kutoka Boko Haram miaka kadhaa iliyopita ambapo sasa wameendeleza mashambulizi yao.

Mwezi uliopita walifanikiwa pia kuua zaidi ya wanajeshi 30.
 
Nikadhani pale pale kumbe ni hukoo nchi za mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uislamu sio ugaidi,bali ndani ya uislamu Kuna magaidi na hasa hili dhehebu moja la ansal suni limefanya dunia kuwa sio sehemu salama ya kuishi na hakuna muislamu anathubutu kukemea.
 
msingi wa Uisilamu ni Quran, ahadith, na miratul rasul
Mfano muislamu akiishi Agizo hili LA Allah huoni Atakuwa Amefuzu?

قَاتِلُوا الَّذِينَ لَا يُؤْمِنُونَ بِاللَّهِ وَلَا بِالْيَوْمِ الْآخِرِ وَلَا يُحَرِّمُونَ مَا حَرَّمَ اللَّهُ وَرَسُولُهُ وَلَا يَدِينُونَ دِينَ الْحَقِّ مِنَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ حَتَّىٰ يُعْطُوا الْجِزْيَةَ عَن يَدٍ وَهُمْ صَاغِرُونَ ( 29 )
Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari
yao, hali wamet'ii.
 
Wanajeshi 33 wa kambi ya jeshi Mainok katika jimbo la Borno wameuawa na wanaodhaniwa kuwa wapiganaji wa dola ya kiislam (IS).

Wanamgambo walifika kambini hapo kwa kuvaa nguo za jeshi na kutumia magari ya jeshi na kufanikiwa kuidhibiti kambi kwa saa kadhaa.

Dola ya Kiislam Jimbo la Afrika Magharibi walijitenga kutoka Boko Haram miaka kadhaa iliyopita ambapo sasa wameendeleza mashambulizi yao.

Mwezi uliopita walifanikiwa pia kuua zaidi ya wanajeshi 30.
Pole yao
 
Wanajeshi 33 wa kambi ya jeshi Mainok katika jimbo la Borno wameuawa na wanaodhaniwa kuwa wapiganaji wa dola ya kiislam (IS).

Wanamgambo walifika kambini hapo kwa kuvaa nguo za jeshi na kutumia magari ya jeshi na kufanikiwa kuidhibiti kambi kwa saa kadhaa.

Dola ya Kiislam Jimbo la Afrika Magharibi walijitenga kutoka Boko Haram miaka kadhaa iliyopita ambapo sasa wameendeleza mashambulizi yao.

wezi uliopita walifanikiwa pia kuua zaidi ya wanajeshi 30.
Let them cry their own cry they have Boko Haram we have alshaabab.
 
Mbegu aliyoipanda Ghadafi kwenye bara la afrika itasumbua miongo mingi sana
 
Stupid! Wanafaidika nini kuua ndugu zao na wazalendo wenzao?? Huo siyo Uislam ni ugaidi.

Everyday is Saturday............................... :cool:
Ninawaambia watu kila siku ya kuwa ugaidi na uislam ni kama maji na mafuta. Kamwe haviwezi kukaa pamoja. Magaidi wanatumika kuuchafua uislam
 
Sasa mkuu kwann Waislam mnaruhusu waislam wachache wachafue dini yenu? Kwa maana hao wanaoitwa magaidi wanatoka katika jamii hizo hizo
 
Nani anawalazimisha waislam wajiingize kwenye ugaidi??? Kama sio mafundisho yao yanayowaamuru wapigane dhidi ya wasioamini..!!
 
Back
Top Bottom