Wanajamvi wa mambo kujeni

Mzunde

Senior Member
Aug 30, 2016
141
104
Poleni na majukumu ya kila siku.
Jamani naomba kujua,
Leo nimefanya interview nbc bank, tumefanya writen ukatokea mchujo nikapona nanilifanya vizuri nimepata 90% tukabaki watu kadhaa tumefanya oral ila naona oral nikama sijafanya vizuri sana,.. Swali je kunauwezekano kuajiliwa hapa kwa parfomance ya writen interview tu?
 
Written interviw kazi yake ni kuchuja au kupunguza watu wenye sifa zinaolingana,hivyo anayepita anakuwa kama kiumbe kipya kuelekea next interviw.
Oral inajitegemea ,lakini pia waajiri wachache sana hutaka kujua uwezo wa mtu ktk kuandika na kuonge pia .Jipe moyo yawezekana uemfanya vizuri pia ktk oral ila hofu ndo inakutingisha.Be inspired my best
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom