wanajamvi ulaji wa mafuta kwa gari spacio old model

pedafomu

Member
Sep 16, 2013
38
6
naombeni tufahamishane ulaji wa mafuta kwa ga
ri aina ya spacio old model kwa lita moja kwa km maana nataka ninunue gari hiyo kwa jamaa mmoja
 
Karibu sana JF...

Fungua thread jukwaa la hoja mchanganyiko au sayansi&teknolojia
 
Back
Top Bottom