wanajamvi tujulisheni yanayojiri kigoma sasa

sir mushi

Senior Member
May 26, 2013
143
52
waungwana sasa tumbo langu joto hasaninaposikia negative results kwa chadema maana nakipenda sana chama hiki hivyo naomba kujulishwa yanayojiri chadema kigoma na kwingineko tz.
 
waungwana sasa tumbo langu joto hasaninaposikia negative results kwa chadema maana nakipenda sana chama hiki hivyo naomba kujulishwa yanayojiri chadema kigoma na kwingineko tz.

pole sana, maandamano yaliyotokea kigoma yalikuwa feki kwa maana wahusika wake hawakuwa wanachama wa chadema bali wanachama wa ccm tena kutoka mwanza. chademaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Zitto na Magamba wenzake waliandaa maandamano na kuwalipa madeleva boda boda ili kuharibu taswila yaa chadema lakn imeshindikana
 
Tunaenda church, then uwanjani kumsubiri Commander in Chief ili atupe mustakabali wa kuikomboa mother land.
 
Wale wahuni wa jana wako chakali kutokana na viloba walivoleweshwa saivi wanaugulia maumivu, chadema inakata mbuga tu
 
Wale wahuni wa jana wako chakali kutokana na viloba walivoleweshwa saivi wanaugulia maumivu, chadema inakata mbuga tu

Ha ha ha ha umenifurahisha sana. Kwa hiyo leo wana hangover na hawana hata fedha ya supu....!!!!
 
“Sasa unaachaje kumsikiliza huyu na ukamsikiliza zaidi mtu ambaye hana sifa za kimageuzi katika ngazi ya kitaifa? Wanaozua tuhuma dhidi ya wenzao hawana hata miaka mitano ndani ya chama?
“Labda nikupe mfano mzuri. Hivi unategemea leo, CCM kwa mfano, eti akina Richard Tambwe Hizza, waanzishe mkakati wa kumng’oa kwenye chama mtu kama Kingunge Ngombale Mwiru kwa madai ni msaliti? Haya mambo yako CHADEMA tu,” alisema mwanasiasa huyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom