Wanajamvi, msaidieni huyu

Andrew Jr

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
330
117
Pongezi ziwafikie kwa kazi nzuri, jamii inapata faida sana. Kuna rafiki yangu ana tatizo la kiafya, lakini kwa bahati mbaya hana ID humu, yanibidi nimpe kampani.
Jamaa anasema alipata tatizo kwenye mkojo. Mkojo ulibadilika rangi na kuwa wa njano na akawa anahisi maumivu. Alipoenda hospitali kwa mara ya kwanza akambiwa mkojo ni mchafu. Akapewa dawa ambazo ni Doxy na Cipro. Baada ya kutumia hakupata nafuu. Akarudi tena kupima bado tatizo likawa palepale, safari hii akaewa Ofloxacini, lakini bado hali ile ile. Aliporudi tena hospital kupima akambiwa bado kuna tatizo akapewa Fluxamoxine. Haikusaidia. Na sasa ameandikiwa sindano ya powersafe apashazimaliza lakini hajapata nafuu.
Mkojo bado unakuwa wa njano na anahisi maumivu, pia hakuna uchafu wowote kama usaha unaotoka.
NOTE: Samahani kama spelling za majina ya dawa nitakuwa nimekosea. Mwokoeni jamani
 
Afanye VDRL pia anakunywa maji ya kutosha maana?? nalo hili huwa linachangia sana.
 
Back
Top Bottom