Wanajamii nipokeeni

Uda

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
811
623
Hodi wa JF,miye mwenzenu nmeamua kujiunga na great thinkers,naombeni mnipokee mwenzenu nina mengi yanayonitatiza najua great thinkers mtanisaidia!tanx
 

Kagalala

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
2,403
1,125
Preta, I like your comments.

Mdau karibu tupeane mawazo ya kulikomboa taifa letu
 

Uda

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
811
623
jamani mmenipokea vizuri mpaka nasikia rahaa! mimi ni KE sio ME.asanteni ila sijazoea chini kwenye jamvi,mtoto napendelea sofani miye!
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom