Wanajamii naombeni mawazo yenu juu ya hili. .

Mnaomshambulia binti kwa kuamua kuolewa mitala, na kwa mume wa dini nyingine, nyie ndo vipofu. Hakika hamjafanya utafiti wa kutosha juu ya maisha ya ndoa kwa wanandoa. Ukweli ni kuwa hatima ya ndoa siku zote haitabiriki, bali hutegemea jitihada za wanandoa wenyewe. Tumeshuhudia ndoa nyingi za mke mmoja zikivunjika tena kwa kashifa na shutuma, zingine zina misukosuko kiasi cha kuwanyima raha wahusika. Lakini kuna nyingi pia zimedumu kwa miaka mingi na amani tele. Pia kuna ndoa za mitala zimedumu vizuri tu na zingine kuvunjika. Sasa sio sahihi kumtabiria huyu binti mabaya tu kana kwamba kuolewa kwake kutawafanya na ninyi mpungukiwe jambo kwenye maisha yenu.
 
Mtoto akililia wembe mpe. Yakimkuta ya kumkuta atawakumbuka sana.
 
Back
Top Bottom