Wanaishi siku 67 bila jua

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
3,907
6,700
Huu mji unaitwa Barrow unàpatikana Alaska huko ambapo jua likizama November 18 linakuja kuchomoza Januari 23 ina maana hapo katikati kwa siku takribani 67 wanakua hawaoni jua panakuwa kama usiku tu,na kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka kama Christmas ndo barafu linashuka kabisa
 
Attachments

  • FB_IMG_1633815076527.jpg
    FB_IMG_1633815076527.jpg
    12.9 KB · Views: 3
Huu mji unaitwa Barrow unàpatikana Alaska huko ambapo jua likizama November 18 linakuja kuchomoza Januari 23 ina maana hapo katikati kwa siku takribani 67 wanakua hawaoni jua panakuwa kama usiku tu,na kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka kama Christmas ndo barafu linashuka kabisa #fahamumagazineView attachment 1969757
 
Huu mji unaitwa Barrow unàpatikana Alaska huko ambapo jua likizama November 18 linakuja kuchomoza Januari 23 ina maana hapo katikati kwa siku takribani 67 wanakua hawaoni jua panakuwa kama usiku tu,na kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka kama Christmas ndo barafu linashuka kabisa
#fahamumagazineView attachment 1969757
Na Kuna idadi kubwa ya wanaadamu??
 
Hapo sasa......
ukiamua unalala masaa yote au uko macho masaa yote....
 
Ukilala masaa yote ugali atakupa nani labda use mtoto au mstaafu
 
Haaahaaa Mrusi kuiuza Alaska Kwa mjanja Kwa pesa ya nusu kilo ya kitimoto mpaka Leo Moscow roho inawauma Sana ni sawa na Leo itokee upo zako pale Geita ukaumuuzia nyumba ya familia mzungu mmoja na ukaja sikia kumbe chini ya nyumba Yako ungechimba shimo futi 20 ungepata dhahabu Tani Moja!
😂😂😂😂
 
Huu mji unaitwa Barrow unàpatikana Alaska huko ambapo jua likizama November 18 linakuja kuchomoza Januari 23 ina maana hapo katikati kwa siku takribani 67 wanakua hawaoni jua panakuwa kama usiku tu,na kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka kama Christmas ndo barafu linashuka kabisa
Je jua likichomoza hutumia muda gani mpaka kuzama au ni masaa hayo 67 ????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom