Wanaijeria na Wakenya wanaosafiria passport za Tanzania watafute mbinu mpya

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,419
Nimeipenda hii ya uhamiaji hasa kitengo cha passport na boarder ya Tunduma,
Wale wanaijeria na wakenya waliokua wanajipatia passport za bure na kupita Nazo boarder Tunduma sasa wajitafutie njia mpya.

Kama idea hii itafanya kazi nitaanza kumwamini Magufuli japo kwa mbali kwani hawa wageni waliifanya nchi yetu mahali pa kuchezea.

Naendelea kufatilia labda nitashawishika na uongozi huu.
 
Ni text ulikua unamtumia mtu, ikaja bahati mbaya huku au?
Maana haieleweki wapi mwanzo wala mwisho.
 
JF imevamiwa na wanywa Chang'aa...... Unaanzisha uzi unafikiri kila mtu anajua kilichopo ktk akili yake...

Nimekutukana
 
Inawezekana bange imeshuka being kwenye solo la ndani na kusababisha ongezeko la wavutaji
 
Nimeipenda hii ya uhamiaji hasa kitengo cha passport na boarder ya Tunduma,
Wale wanaijeria na wakenya waliokua wanajipatia passport za bure na kupita Nazo boarder Tunduma sasa wajitafutie njia mpya.

Kama idea hii itafanya kazi nitaanza kumwamini Magufuli japo kwa mbali kwani hawa wageni waliifanya nchi yetu mahali pa kuchezea.

Naendelea kufatilia labda nitashawishika na uongozi huu.
rosemarie huyu ni wewe ndio umeandika hivi au wajanja wamedukuzi akaunti yako!?
 
Back
Top Bottom