Wanahitajika watu wa promotion na sales

usalama kwanza

JF-Expert Member
Oct 3, 2012
386
157
Isecure Technology inahitaji watu wanaoweza kufanya promotions ya huduma mpya waliozindua .Kampuni inahusika na vifaa vya usalama kama
  • Fire alarms systems repair and installation
  • CCTV camera systems repair and installation
  • Access control systems
  • Video intercom systems
  • Automatic gates. Repair and installation
  • Car tracking systems installation
  • Electric fence
  • Time attendance systems
Tunahitaji watu wawili kwa ajili ya promotions ambao watakuwa wanasambaza bronchures, company profiles maeneo mbalimbali na promotion itafanyika kwa siku tano kila siku malipo ni Tshs 10,000/- plus kamishen kwa kila kazi itakayokuja.

Tunahitaji pia watu wa sales watakaokuwa wanalipwa kwa kamishen kutokana na kazi watakazoleta kwenye kampuni,

Sifa : awe mchapakazi, mwenye kuweza kuwasiliana vizuri na wateja.
unaweza kutembelea website yetu www.isecure.co.tz , tuma sms 0714890018
 
Back
Top Bottom