Wanahitajika watu wa kukamata kitengo cha kuandaa Memorandum & Articles of Association na kusajili kampuni

miamiatz

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
504
927
Katika ile MIAMIA PROJECTS PORTAL niliyowahi kuielezea kwa uzi huu Kwa yeyote anaeweza kufanya kazi yeyote wakati wa free time aje inbox wanahitajika watu watakaofanya kazi ya usajili wa biashara na makampuni. Watakuwa wanafanya kazi kama team lengo likiwa ni kuongeza ufanisi.

Kumbuka hii sio ajira bali ni crowdsourcing platform. Lengo ni kufanya kazi katika muda wa ziada ili kujipatia kipato cha ziada. Pia lengo ni kuongeza chachu ya kufanya kazi kwa ushirikiano (kujenga network kubwa zaidi).

Kwa anaeona hii inamfaa tuwasiliane (PM) na kwa wenye ujuzi kama:
  • Leads generation and nurturing
  • Proposals generation
  • Web, Mobile & Software Dev
  • IT & Networking
  • Data Science & Analytics
  • Engineering & Architecture
  • Design & Creative
  • Writing
  • Translation
  • Legal
  • Admin Support
  • Customer Service
  • Sales & Marketing
  • Accounting & Consulting
  • Etc
Nao pia wanaweza kuunganishwa kwenye portal na kufanya kazi kwa pamoja.

Kumbuka kuwa kazi ni za ushindani hivyo inafaa kuandaa profile nzuri ambayo itakaa kwenye portal kwa ajili ya kushawishi wale wanaotaka kutoa kazi kwa MIAMIA.

Karibuni.
 
Hapo kwenye admin support account and consulting utaratibu ni nn kujiunga mkuu???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom