Wanahitajika walimu kufundisha part time mkoa wa Mwanza

Edsger wybe Dijkstra

JF-Expert Member
Aug 22, 2019
240
463
Tunahitaji walimu wa Physics, Chemistry, Biology, History, Kiswahili, Language,Adv Mathematics, Commerce, Accountancy kwa A level na O-level amabao wapo mkoa wa mwanza kwa kazi ya kufundisha part time.

Tuwasiliane pm kama upo tayari.
 
Serikali huwa wanaweka scale ya mshahara wanapohitaji walimu ili mtu ajitathimini kama ataukubali huo mshahara. Sasa hapa hawaoneshi kiwango cha mshahara maana yake ni kwenda kuelewana mwisho wake mwalimu atakimbia kazi bila kuaga
 
Back
Top Bottom