Wanahitajika waigizaji wa matangazo na Film DSM

A

Agency Tz

New Member
Joined
Sep 9, 2019
Messages
1
Points
45
A

Agency Tz

New Member
Joined Sep 9, 2019
1 45
Waigizaji wa filamu na matangazo ya video wanahitajika. Zoezi hili lakuwatafuta waigizaji litaanza rasmi 1/10/2019 na kumalizika tarehe 1/12/2019. Eneo la usahili litatajwa kwa watakaokidhi vigezo vya kufika hatua ya usahili. Wahitajikao ni wakike 20 na wakiume 15 kwa msimu wa kwanza wa filamu na matangazo.Tuma maombi yako kupitia emal yetu ya agencyafricatz@gmail.com
Angalizo. Epuka matapeli ,hakuna malipo yoyote kwa ajili ya usahili.
Vigezo
*Umri 18 mpaka 60
*Elimu ya sanaa
*Awe msanii mpya katika tasnia ya filamu.
Watakao kidhi vigezowatapigiwa simu ili kufika katika usahili wa awali.
Tujulishe kuhusu
*Majina yako kamili
*Umri
*Unapoishi
*Elimu
*Uzowefu wa kazi
n.k

Wahi sasa ,Bado mapema.

Maombi yote yatumwe kupitia
agencyafricatz@gmail.com
 
Dr. Wansegamila

Dr. Wansegamila

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Messages
1,671
Points
2,000
Dr. Wansegamila

Dr. Wansegamila

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2012
1,671 2,000
Waigizaji wa filamu na matangazo ya video wanahitajika. Zoezi hili lakuwatafuta waigizaji litaanza rasmi 1/10/2019 na kumalizika tarehe 1/12/2019. Eneo la usahili litatajwa kwa watakaokidhi vigezo vya kufika hatua ya usahili. Wahitajikao ni wakike 20 na wakiume 15 kwa msimu wa kwanza wa filamu na matangazo.Tuma maombi yako kupitia emal yetu ya agencyafricatz@gmail.com
Angalizo. Epuka matapeli ,hakuna malipo yoyote kwa ajili ya usahili.
Vigezo
*Umri 18 mpaka 60
*Elimu ya sanaa
*Awe msanii mpya katika tasnia ya filamu.
Watakao kidhi vigezowatapigiwa simu ili kufika katika usahili wa awali.
Tujulishe kuhusu
*Majina yako kamili
*Umri
*Unapoishi
*Elimu
*Uzowefu wa kazi
n.k

Wahi sasa ,Bado mapema.

Maombi yote yatumwe kupitia
agencyafricatz@gmail.com
Safi sana...
Fursa nzuri kwa vijana wenye vipaji vya uigizaji!!
 
mbaga jr

mbaga jr

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2018
Messages
3,899
Points
2,000
mbaga jr

mbaga jr

JF-Expert Member
Joined May 28, 2018
3,899 2,000
vipi kwa ambaye anafanya shooting.? binafsi naweza kutengeneza film na matangazo aina yote ila nme-base kwenye shooting (camera-man & cinematographer)
 
Forum statistics

Threads 1,334,518
Members 512,012
Posts 32,478,860
Top