Wanahitajika wahudumu wa pub Namanyere

mmekutravella

Senior Member
Apr 16, 2013
100
32
Tunatafuta wahudumu kwaajili ya Pub yetu iliyopo wilaya ya Nkasi mjini Namanyere wanaotakiwa ni wasichana wasiozidi umri wa miaka 30 tunatoa huduma ya chakula na malazi kwa Wahudumu wetu! Kwa maswali pia maelezo zaidi unaweza piga no 0767350415

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pub inaitwaje mkuu? Na huduma ya malazi ni humohumo pub ni lodge!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom