Wanahitajika vijana wa mauzo katika biashara yangu ya kuchapisha t-shirts

winchester

JF-Expert Member
Oct 6, 2015
225
193
Habari, nahitaji vijana watakaosaidia mauzo ya huduma ya uchapaji/printing kama mashati, kofia, vikombe na vitu vingine payment ni kwa kamisheni kutokana na mauzo yatakayofanyika

Pia nahitaji watakaojihusisha na mauzo ya vifaa vya usalama kama cameras, gps tracking, access control systems, electic fence

Ofisi ipo Mwananyamala komakoma karibu na jengo la biashara complex.

Anayehitaji unaweza kupiga simu namba 0676577548 pia tunaweza kuwasiliana kupitia pm .
 

Attachments

  • IMG-20190120-WA0068.jpg
    IMG-20190120-WA0068.jpg
    48.1 KB · Views: 41
  • IMG-20190120-WA0064.jpg
    IMG-20190120-WA0064.jpg
    36.1 KB · Views: 41
  • IMG-20190120-WA0065.jpg
    IMG-20190120-WA0065.jpg
    28.9 KB · Views: 35
  • IMG-20190120-WA0057.jpg
    IMG-20190120-WA0057.jpg
    44.6 KB · Views: 41
  • IMG-20190120-WA0058.jpg
    IMG-20190120-WA0058.jpg
    51.5 KB · Views: 38
  • IMG-20190120-WA0060.jpg
    IMG-20190120-WA0060.jpg
    108.7 KB · Views: 37
  • IMG-20190120-WA0062.jpg
    IMG-20190120-WA0062.jpg
    45.6 KB · Views: 41
  • IMG-20190120-WA0063.jpg
    IMG-20190120-WA0063.jpg
    39.7 KB · Views: 36
Back
Top Bottom