Wanahitajika Sales Agents haraka.

edwardy

New Member
Jul 31, 2008
1
0
Kampuni mpya ya matangazo ( advertizing) inahitaji Direct Sales Agents wa kutafuta matangazo kwa ajili ya gazeti lao.

wawe na ujuzi na uzoefu wa kutosha katika kuuza bidhaa za habari ( advertisements)

Piga simu zifuatazo kupangiwa tarehe ya usaili( interview)
0756 737357,
0786 510127
0713415598
au tuma e-mail kwa: manunuzi@gmail.com
 
Ukiona hawataki kusema lolote......ujue ni XX marketing haoo maana wanakuita na kukupa interview kesho yake unaambiwa ukaanze kazi ukienda weeeeee................machingazz style
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom