Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
Mkuu Mkjj naomba ufafanuzi ni wanaharakati gani unaozungumzia? Wanaharakati is a broad term. Mimi ambao ni mwanaharakati wa mazingira kwanini nitupe line? Na wale ambao ni wanaharakati wa haki za binadamu je?
Jamani kuna watu wanauliza maswali hadi unawashangaa uwezo wao wa kuchambua.
Hivi hili nalo ni swali unategemea ujibiwe na mmkjj?
Wewe kama ni mwanaharakati wa mazingira na unajua wapo wanaharakati wengine wengi tofauti tofauti as per your say sasa maswali haya ya nini? elewa kuwa wanaharakati. Kama ni wa kuponya uchumi na maisha yako sawa kama ni harakati za kuimaliza voda/RA nazo ni harakati lakini usiulize maswali yasiyo na kichwa wala miguu!