wanaharakati WETU sio wabunifu wanangoja maaelekezo kutoka Kwa dk slaa?

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
Leo ukisikia dk slaa atapozungumzia swala la maandamano kuhusu Downs, kesho ukiamka wanahrakati wetu nao utwasikia hayo hayo, utawasikia eti na wao wanapinga hayo hayo aliosema dk slaa.kwa mfano swala la katiba na swala kupanda kwa umeme, lkn ukiona kimya chadema na hao hukaa kimya ina maana hawa sio wabunifu?wanapata shindikizo?
 
Back
Top Bottom