Wanaharakati wataka wanaume wawalipe mishahara wake zao

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,170
103,633
Kikundi cha Wanasheria wanaotetea haki za Wanawake kutoka Nchi tatu za Jumuiya ya Afrika Mashari (Tanzania, Kenya na Uganda) wamepaza sauti wakitaka Wanaume wanaofanya kazi waanze kuwalipa mishahara kila mwezi Wake zao wasio na kazi.

Wakizungumza wakiwa nchini Uganda Wanasheria hao wamesema Wanawake wengi wamepoteza kazi na kukosa mitaji ya kuendesha shughuli kutokana na Corona na kujikuta wanafanya kazi nyingi za nyumba kama kupika, kufua, kuhudumia Wanaumd n.k hivyo wanastahili kulipwa.

Wanawake hao wamewaomba pia Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kutunga Sheria na sera ambazo zitasimamia Wanawake kulipwa mshahara na Wanaume zao

My Take
Vijana wanazidi kupatiwa sababu za kukataa kuoa
 
Mwenye uhitaji zaidi wa ndoa ni mwanamke
Mwenye uhitaji zaidi wa huduma, upendo, kubembelezwa, kusikilizwa n.k ndani ya ndoa ni mwanamke

Kwa sababu hizo mbili tu, mwanamke alipaswa alipe mahali ili aolewe

Napenda sana utamaduni wa wahindi
Wahindi wana utamaduni gani?
 
Kikundi cha Wanasheria wanaotetea haki za Wanawake kutoka Nchi tatu za Jumuiya ya Afrika Mashari (Tanzania, Kenya na Uganda) wamepaza sauti wakitaka Wanaume wanaofanya kazi waanze kuwalipa mishahara kila mwezi Wake zao wasio na kazi.

Wakizungumza wakiwa nchini Uganda Wanasheria hao wamesema Wanawake wengi wamepoteza kazi na kukosa mitaji ya kuendesha shughuli kutokana na Corona na kujikuta wanafanya kazi nyingi za nyumba kama kupika, kufua, kuhudumia Wanaumd n.k hivyo wanastahili kulipwa.

Wanawake hao wamewaomba pia Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kutunga Sheria na sera ambazo zitasimamia Wanawake kulipwa mshahara na Wanaume zao

My Take
Vijana wanazidi kupatiwa sababu za kukataa kuoa
Hapa wakikaza sanaaa naona kila dalili ya wajane kuwa wengi.
 
Back
Top Bottom