OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,185
- 103,688
Kikundi cha Wanasheria wanaotetea haki za Wanawake kutoka Nchi tatu za Jumuiya ya Afrika Mashari (Tanzania, Kenya na Uganda) wamepaza sauti wakitaka Wanaume wanaofanya kazi waanze kuwalipa mishahara kila mwezi Wake zao wasio na kazi.
Wakizungumza wakiwa nchini Uganda Wanasheria hao wamesema Wanawake wengi wamepoteza kazi na kukosa mitaji ya kuendesha shughuli kutokana na Corona na kujikuta wanafanya kazi nyingi za nyumba kama kupika, kufua, kuhudumia Wanaumd n.k hivyo wanastahili kulipwa.
Wanawake hao wamewaomba pia Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kutunga Sheria na sera ambazo zitasimamia Wanawake kulipwa mshahara na Wanaume zao
My Take
Vijana wanazidi kupatiwa sababu za kukataa kuoa