Panctuality
JF-Expert Member
- Jun 11, 2019
- 726
- 1,044
Baba yangu na mama yangu,walinisomesha alafu mshahara wangu upewe na wewe,kwani matumizi ya nyumbani sitoi? tuache utani kama watoto wenu wa kike waligoma kusoma wakachagua ngono basi ziambieni ngono ziwalipe mishahara na sio waume au huu ndio mbadala wa ukosefu wa ajira kwa wanawake? ,hii ndio 50 kwa 50?,na vipi kama mke ana kazi na mme hana,haki ya mwanaume ipo wapi? subirini kidogo watawazaa watoto wasio na baba zao.