Wanaharakati wa haki za binadamu (LHRC) Ponda siyo binadamu?!!?

MIDFIELD

JF-Expert Member
May 27, 2013
1,944
701
Wana JF napenda kuwauliza hawa watu wanaojiita wanaharakati za binadamu kwamba Ponda hawahusu?? Au Sheikh Ponda anastahili kupigwa risasi??

Nauliza hivi kwa sababu wanaharakati hawa wakiongozwa na Bi Kijo Bisimba inapotokea uvunjifu wa haki kama alivyofanyiwa Ponda huwa wepesi sana kama sio wa kwanza kabisa kuyatolea matamko makali na kuyalaani kwa nguvu zote na kuishutumu Siri Kali.

Kwa hili naona wapo kimya! Au wanaona sawa? kama wanaona sawa basi angalau watoe tamko la kuipongeza Siri Kali
 
Ponda ni muislamu ndio maana hawahusu!. Ila angekuwa Mkristo huwenda angewahusu. Ila kwa hali ya kawaida ni mwanaadamu na anastahili haki zake kama binaadamu wengine. Ila huwenda pia hao wote wapo katika kutekeleza kauli ya "piga tu".
 
Ponda ni muislamu ndio maana hawahusu!. Ila angekuwa Mkristo huwenda angewahusu. Ila kwa hali ya kawaida ni mwanaadamu na anastahili haki zake kama binaadamu wengine. Ila huwenda pia hao wote wapo katika kutekeleza kauli ya "piga tu". Kweli inasikiisha sana na sijuwi kama ndio hivi! Basi chombio cha kulinda Amani leo.............. Kwa kweli sijuwi yaani kweli sijuwi.
 
Mmh! Jana na leo ni wikend ngoja j'3 tusikie tamko la0...zen ndo tuanze kuwajaji kama islam hana haki ya ubinadamu ama vp!
 
ponda ni mwislam.hawana time na waislam

watu wengine wanapenda kuuliza majibu,, ponda kinachompoza ni dini yake,, ndo maana hata humu tumegawanyika wale wanaosema bora na wale wanaolaani tumegawanyika,, hata kule facebook,, tunasubiri tamko la CDM (thubutu!!!???)
 
MIDFIELD umeangalia Star Tv? Unafikiri ishu ya Sheikh Ponda ni ya kuingia kichwa kichwa kama alivyoingia Prof.Lipumba?


NB:Kama Mtaaluma, Prof. Lipumba namheshimu sana, lkn uamuzi aliofanya kuhusu ishu ya ponda utamgharimu. Amefanya hilo jambo mapema sana. Naamini kuna waseamji wa familia ya Ponda na hata hao aliokuwa nao kwenye Mhadhara huo wangetosha kulizungumzia ishu yake.

c.cmsumeno
 
Naamini kuwa wanapaswa kusimamia haki za binadamu akiwemo Ponda, lakini kwa sasa habari ya Ponda haijawa wazi kiasi cha mtu kuwa na uhakika wa kipi ni kipi, mimi nadhani tuwape muda hii habari iwe wazi in and out ndipo tuwahukumu, wao kama taasisi hawawezi kukurupuka bila kuwa na uhakika..
 
Wana JF napenda kuwauliza hawa watu wanaojiita wanaharakati za binadamu kwamba Ponda hawahusu?? Au Sheikh Ponda anastahili kupigwa risasi?? Nauliza hivi kwa sababu wanaharakati hawa wakiongozwa na Bi Kijo Bisimba inapotokea uvunjifu wa haki kama alivyofanyiwa Ponda huwa wepesi sana kama sio wa kwanza kabisa kuyatolea matamko makali na kuyalaani kwa nguvu zote na kuishutumu Siri Kali. Kwa hili naona wapo kimya! Au wanaona sawa? kama wanaona sawa basi angalau watoe tamko la kuipongeza Siri Kali

Unajuaje kama wanaona Ponda anafaa kutetewa nao?

Unajuaje kama Ponda anafaa kutetewa nao?

Unajuaje kama hawako katika mipango ya kujipanga na kuchunguza habari kwa kina kabla ya kutoa tamko na msimamo wao?

Au unataka wakurupuke kusema tu bila uchunguzi halafu wakosee mambo, uwalaumu kwamba wamekurupuka tu bila uchunguzi?
 
watu wengine wanapenda kuuliza majibu,, ponda kinachompoza ni dini yake,, ndo maana hata humu tumegawanyika wale wanaosema bora na wale wanaolaani tumegawanyika,, hata kule facebook,, tunasubiri tamko la CDM (thubutu!!!???)

Dini yake inawezaje kumponza? Unataka kutuambia kuwa Uislamu ni Dini ya namna gani mpaka iponze watanzania? Mbona hawajaponzwa wakina Dr. Bilal, JK, Mwema..etc. Kwa nini Ponda na sio wengine? Tafakari hili jambo kwa mapana!!

Hujawahi kufikiri kuwa Pengine kuna wahafidhina ndani ya Dini yake ambao wanaona kama anawahiribia na hivyo kushangilia akisotwasotwa?Na hao wote ambao wameshughulikiwa na Dola wanaponzwa kwa Dini zao? mf. Ulimboka, Kibanda, Kubenea, ..etc Try to think Big my Friend!!

c.c msumeno
 
tukio limetokea katika siku za sikukuu,ofisi zimefungwa tusubiri wiki ijayo kama watakuja na tamko au laa
 
Dini yake inawezaje kumponza? Unataka kutuambia kuwa Uislamu ni Dini ya namna gani mpaka iponze watanzania? Mbona hawajaponzwa wakina Dr. Bilal, JK, Mwema..etc. Kwa nini Ponda na sio wengine? Tafakari hili jambo kwa mapana!!

Hujawahi kufikiri kuwa Pengine kuna wahafidhina ndani ya Dini yake ambao wanaona kama anawahiribia na hivyo kushangilia akisotwasotwa?Na hao wote ambao wameshughulikiwa na Dola wanaponzwa kwa Dini zao? mf. Ulimboka, Kibanda, Kubenea, ..etc Try to think Big my Friend!!

c.c msumeno

Kushugulikiwa na serekali sio tatizo maana huwo ni wajibu wa serekari kama anakiuka taratibu za kisheria lazima ashugulikiwe,, mada iliuliza kuwa kwa nini wanaharakati wa haki za binadamu wamekaa kimya?? hapo ndo issue,, ukweli kuwa watanzania tumegawanyika kidini kwa mambo kama haya,, hata utetezi sasa umebaki kuwa wakibaguzi,,,napinga kugawanyika kidini,, udini hautatupeleka popote ,,,
 
Back
Top Bottom