Wanaharakati, Nyeri Kenya wanapanga kutumia panya 200 katika maandamano

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,485
Wanaharakati, Nyeri Kenya wanapanga kutumia panya 200 katika maandamano kupinga matumizi ya KSHS 75m kujenga gym.

Waandamanaji wanapanga kutumia panya 200 katika maandamano katika mji wa Nyeri mkoa wa kati nchini Kenya kulingana na gazeti la the Star nchini humo. Gazeti hilo limemnukuu mshirikishi wa maandamano hayo John Wamagata akisema ''tutaleta panya 200 na kuwatembeza katikati ya mji''.

Gazeti hilo linaongezea kwamba maandamano hayo yanayopangwa kufanyika wiki ijayo yanapinga mapendekezo ya bunge la kaunti hiyo kutumia shilingi milioni 75 kujenga klabu ya kuimarisha afya. Klabu hiyo itakuwa na eneo la kunyosha misuli,eneo la kuoga kwa kutumia mvuke,eneo la masaji,kidimbwi cha kuogelea na sauna kulingana na gazeti la the star.

=======

More than 200 live rats will be used by a civil society group next week during protests in Nyeri town.
1369110.jpg

Operation Ondoa Panya coordinator John Wamagata speaking to journalists in Nyeri town on Monday.

Operation Ondoa Panya activists will carry the rats in what they call a peaceful demonstration. They are protesting the proposal by the county assembly to build a Sh75 million health club. They will be joined by residents from town to the Ruring’u county assembly offices.

Speaking in Nyeri town on Monday, organising coordinator John Wamagata said it is wrong for the MCAs to build such a luxury club when the county needs better infrastructure.

“We shall bring 200 rats and take them round the town. The passion for a sauna club is the only thing the MCAs learnt during their regular trips abroad,” Wamagata said. He said they will also oppose plans to impeach Governor Nderitu Gachagua for leading the residents in opposing construction of the health club.

“The money should be sent to local youth saccos, who can borrow it and start jobs. This will reduce unemployment and help many pople, not just a few individuals,” Wamagata said.

He urged the MCAs to initiate water projects in each ward to ensure all residents can have a decent bath, instead of elite health clubs. The club proposal has been met with stiff opposition by Nyeri leaders, led by the governor. Gachagua told the MCAs to “swim in the rivers in their wards and be massaged by their wives”. The Nyeri County Assembly Health Club will have gymnasium equipment, a steam bath, massage parlour, swimming pool and sauna.

Gachagua on Wednesday vowed to stop the Sh75 million MCAs’ health club project, terming it a “misuse of public funds”.

“I have contacted the controller of budget that this will not happen in Nyeri. The tenders should be cancelled and money returned to the county treasury,” Gachagua said.

“We shall not allow a health club with swimming pool. If MCAs want to swim, each ward has a river or dam for swimming.”

Some MCAs also opposed the health club project. Six MCAs, out of the 46, urged the county assembly to shelve the idea to give other projects priority. Gachagua’s announcement comes a week after he halted local road projects, alleging that some MCAs had an interest in the contracts.

The governor also halted Sh90 million ward projects, citing lack of public participation before the county assembly passed the budget.

Chanzo: 200 rats to be used in demo against Nyeri MCAs’ club
 
Natumai kuna kitu huwa mnajifunza kutoka kwa Wakenya, sio kufuatilia taarifa zetu tu. Haswa upande wa uanaharakati na upinzani Bongo huwa mumelala sana. Mkibabaishwa kidogo mnaachia na kutoroka bunge. Leo nimesoma sehemu eti sherehe ya mahafali/graduates pamoja na viongozi wa upinzani Bongo imetibuliwa na polisi na mlitawanyika mara moja. Polisi wazingira Mahafali ya CHASO Dodoma, Watawanywa kwa nguvu

Unapodai haki, kubali kuna gharama, kwenye taarifa hii hapa jamaa watawabeba panya 200 kupinga ujenzi usiokua na umuhimu wakati kuna mambo ya msingi ambayo hayajatimizwa. Ndio maana CNN/BBC wamekomalia Kenya wakati nyie mnalalamika hawaji huko.

Ona hapa mnavyokejeliwa, hii nimecopy paste kutoka kwenye huo uzi

nimetoka kuangalia taarifa ya habari ITV , huko Dodoma salum mwalimu aliaanza kwa kusema hawaondoki hata polisi wapige risasi na mabomu hawaondoki, ila baada tu ya polisi kuwatangazia waondoke Mara moja, ghafla wote wakakimbia ha ha ha ha h ha chadema wasanii Sana alafu ni waoga!! ha ha ha ha ha ha ningefurahi sana kama wangevunjwa miguu, ha ha ha ha!!
 
Back
Top Bottom