Wanaharakati na wazawa wa Dodoma, hili ni lenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaharakati na wazawa wa Dodoma, hili ni lenu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by RUV ACTVIST., Mar 3, 2012.

 1. RUV ACTVIST.

  RUV ACTVIST. JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 471
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Dodoma inageuka jangwa, inabidi muwashinikize viongozi wa dodoma kutengeneza msitu wa kupanda.
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  dodomd kuna majangwa mengi wewe unasemea lipi?
  ccm=jangwa
  ukame=jangwa
  cda=jangwa
  udo=jangwa
  fafanua mkuu hata kama umesema tuwashinikize wapande misitu je ccm tuwashinikize wafanyeje?
   
 3. RUV ACTVIST.

  RUV ACTVIST. JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 471
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Haya majangwa mengine mikakati yake ni mepesi na si ya viongozi ni Wanadodoma kuamua kufanya mabadiliko, concern yangu hili jangwa la ukame, pasipofanyika mikakati ya makusudi kubadili hari iliyopo maisha ya wakazi wa dodoma yatazidi kuwa magumu. Ni jambo linalowezekana kuifanya dodoma kuwa ya kijani sio lazima tusubili wafadhili.
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Jangwa ambalo suluhu yake ni kutengeneza msitu mbona linafahamika mkuu? Au unataka kuharibu thread ya mtu kwa makusudi?
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ulichosema ni sahihi kabisa, mkoa unazidi kuwa jangwa kila siku....they have to do something.
   
 6. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #6
  Mar 3, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Miti ya kuchoma mkaa sasa imekwisha, wagogo wanachoma nyasi sasa kupata mkaa.
   
 7. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #7
  Mar 3, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Nakumbuka wakati JK ameingia madarakani kwa mara ya kwanza alilivalia njuga suala la mazingira. Aliuliza suali moja muhimu kwamba: hivi sasa ukirudi kijijini kwako unakuta vile vijito ambavyo mlikuwa mnatumia kuoga ama kuteka maji? Ilikuwa hotuba njema na akasema mengi ataongea makamo wa Rais. Kweli makamo Dr. Shein akaja na hotuba nyingine nzuuuri iliyoelezea mikakati ya mazingira ikiwemo Bonde la Ihefu na kupiga marufuku ukataji wa miti kwa ajili ya mkaa. Tukashuhudia mkaa ukiadimika na bei kupanda huku kukiwa hakuna nishati mbadala. Tukayumba. Nadhani mipango ya kuzuia jangwa ukawa imeishia hapo! Juzi amekuja waziri Hovisa akasema kila jumamosi ya mwisho wa mwezi kila mtu atoke na kufanya usafi (Rwanda Style) nalo kama kawaida limebaki kuwa agizo la jukwaani. Mazingira hapa nchini ni yatima tangia Mwenyezi Mungu alipomuita Dr. Omary Alli Juma mbele za haki.
   
 8. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #8
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  swala la mazingira limekuwa ni la kisiasa zaidi, gas tunayo lakini bei yake ni wananchi wangapi wa tz wanaoaeweza kuimudu (50,000-65,000/=)? serikali kama ipo serious na swala la mazingira ni lazima isolve bei ya gas na hata kuilipia kwa % fulani ili kubalance bei yake na ya mkaa ili tuache matumizi ya mkaa. gas sasa hivi ni kama anasa nanunua gunia la mkaa 23,000/= natumia mwezi mzima, gas nanunua 60,000/= natumia siku zile zile

  turudi dodoma, nilitembelea maeneo mengi sana last november kwakweli hali ile inatisha sana maana inafikia wakati hata kuangalia nje unaogopa
   
 9. RUV ACTVIST.

  RUV ACTVIST. JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 471
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mi nimetimiza wajibu wangu nimewakumbusha nanyi mkupende kwenu mtimize wajibu wenu,hatia itakuwa juu yenu mtalaumiwa na watoto na wajuu zenu.
   
Loading...