Wanaharakati na Juhudi za kuikwamua Jamii ktk Lindi la Umaskini LIVE ON STAR TV

Naomba namba ya Marcusi nimpe data za PPF na ushahidi kamili

Ahsanteni sana wanaJF kwa michango yenu na hekima zenu tukutane Ijumaa kwa mada itakayoangazia kauli tata za wanasiasa na hatua zilizopitiliza za Jeshi la Polisi katika kushughulikia au kupambana na makundi ya wananachi wanaodai haki zao
 
Asante..
Tumekupata. But next time usiwe busy sana JF na kwenye kutype wakati mwenzako hapo anaongea. Jaribu kumwambia mtu wa kamera aelekezee kamera mbali na wewe wakati ukiwa busy na mambo yako.
Asante
 
Mwache afanye kazi kwa taaluma yake. Ukitaka asiwe busy na JF, anzisha TV yako na uwe na control nayo. Big up Star TV, Big up Yahya.

Asante..
Tumekupata. But next time usiwe busy sana JF na kwenye kutype wakati mwenzako hapo anaongea. Jaribu kumwambia mtu wa kamera aelekezee kamera mbali na wewe wakati ukiwa busy na mambo yako.
Asante
 
Umaskini nchi hii unazidishwa na Rais JK kutokaa chini na kutatua baadhi ya kero za wananchi! Kila siku anawaza ziara za nje ya nchi, kwani yeye ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa? Ebu fikiria zaidi ya ziara 320 kila moja kwa wastani wa siku 5; na kila siku USD 15,000/- sawa na TZ Sh. 20,000,000/=.

Sasa unashangaa kwa nini nchi isiwe maskini? Najua unalinda ajira yako kwa kutotaka jambo hili lijadiliwe au pia unaogopa kupambana na nguvu za dola, lakini ukweli ndiyo huu!
 
Back
Top Bottom