Wanaharakati kama Prof Shivji na viongozi kama Dr slaa wawe wageni rasmi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaharakati kama Prof Shivji na viongozi kama Dr slaa wawe wageni rasmi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kweleakwelea, Mar 2, 2011.

 1. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,419
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  Ndugu wanaJF

  nimeiona ile post kwamba mr Sugu atapokea maandamano ya mbeya ya wana tucta...this is a nyce movie!

  kuanzia sasa napendekeza kuwa katika shughuli zetu zote za kitaifa na za kimajimbo (ambazo tuna mamlaka nazo) tusiwaite tena viongozi wa serekali kama wageni rasmi...tuwaite kina slaa na kina profesa shivji shivji wahutubie...wanaweza kutueleza kitu! tuwaite watu ambao wanaweza kufanya analysis ya root causes za shida zetu na wanaoweza kurecommend measures za adjustment....

  naipendekeza chadema na specificcially Dr Slaa kwani ni mwakilishi halali aliye na kibali mbele ya umma, mwenye kubeba dhamana ya wananchi walio wengi wa nchi hii (wakulima na wafanyakazi)

  ni ukweli kuwa hotuba ambazo tunahutubiwa na viongozi wa serekali wakati wa shughuli zetu mbalimbali hazitupi dira wala matumaini sisi kama taifa!

  ni wazo rahisi lakini linaweza kutusaidia kupata elimu ya uraia, uchumi na kuweka dira inayotekelezeka ya taifa letu...

  naomba kuwasilisha!!
   
Loading...