Wanahamia Chadema kutoka CCM, wanahamia NCCR kutoka Chadema

Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
261
Pia wanatoka Chadema kurudi CCM. Mmoja tu aliwahi kutoka Chadema kuhamia CUF. Je hii inaonesha daraja za vyama vya siasa? Kama ndivyo, wakitoka NCCR watakwenda wapi?
 
Pia wanatoka Chadema kurudi CCM. Mmoja tu aliwahi kutoka Chadema kuhamia CUF. Je hii inaonesha daraja za vyama vya siasa? Kama ndivyo, wakitoka NCCR watakwenda wapi?

Na wanahamia Chadema kutoka Cuf; mf.Rwakatare, etc

Na wanahamia Chadema kutoka NCCR; mf.Marando,Selasini, Komu, Marehemu Wangwe, etc

Hatutazijua sababu halisi za kuhama kama tutaendekeza ushabiki wa vyama humu JF.Laiti kama tungelitafiti suala hili (kuhama vyama) tungeliweza kulielewa vizuri. Bahati mbaya wanaohama wanasindikizwa kwa matusi...
 
NCCR ni CCM C kwa hiyo utajua mtu akitoka CHADEMA kwenda NCCR ni sawa na kwenda CCM
 
dhamira za wanachama wazalendo zidumu uccm unccr au uchadema bila dhamira ilio safi ni kazi bureee!
 
NCCR ni CCM C kwa hiyo utajua mtu akitoka CHADEMA kwenda NCCR ni sawa na kwenda CCM

Je, ni sahihi kusema;
ccm = daraja 1
Chadema = daraja 2
nccr = daraja 3
cuf = daraja 4
udp = daraja 5
tlp = daraja6?
 
Back
Top Bottom