Wanahabari Wakimfuata Nyuma Mwanasheria Mkuu Wa Zamani Andrew Chenge Kutaka Kumhoji

Huyu jamaa alitakiwa awe gerezani.
Sio rahisi kumfunga kwa kutumia shieria za nchi hii. Karibu 80% ya sheria za nchi hii kazitunga yeye... Kabadilisha sheria nyingi sana kutoka kwenye ordinances to Acts. Kumbuka ordinance ni sheria tulizozirithi kwa mkoloni au sheria zilizokuwa zinatumika Uingereza kabla ya mwaka 1920 ila acts ni sheria zilizotungwa na bunge letu na Chenge kama mwanasheria mkuu wa serikali na pia kama mbunge kashiriki kwa kiasi kikubwa kuziandaa sheria hizo. So kumfunga ni ndoto ya mchana.
Wanamjua, kwahiyo wanamfuata kwa tahadhari Sana, waulize BBC alichowafanyia, walikaa na mike dk 5 nzima jamaa kauma tu mdomo. Haooo wakakunja mike wakasepa
 
Sio rahisi kumfunga kwa kutumia shieria za nchi hii. Karibu 80% ya sheria za nchi hii kazitunga yeye... Kabadilisha sheria nyingi sana kutoka kwenye ordinances to Acts. Kumbuka ordinance ni sheria tulizozirithi kwa mkoloni au sheria zilizokuwa zinatumika Uingereza kabla ya mwaka 1920 ila acts ni sheria zilizotungwa na bunge letu na Chenge kama mwanasheria mkuu wa serikali na pia kama mbunge kashiriki kwa kiasi kikubwa kuziandaa sheria hizo. So kumfunga ni ndoto ya mchana.
kucha zake je. ngumu kuzipata?
 
Joka la Makengeza Msaka Pesa!
Nimependa huyo dada anavyomlia mingo kwa taadhari! :D:D:D

chenge1.png
 
Back
Top Bottom