Wanahabari Wakimfuata Nyuma Mwanasheria Mkuu Wa Zamani Andrew Chenge Kutaka Kumhoji

Magu hawezi kumgusa huyo. Sitarajii lolote la maana kwenye serikali ya CCM, ambao ndio waliosababisha majanga yanayotutesa.

Watu ambao wanakula hadi rambirambi za wafiwa, leo waje kuniambia wana uchungu na maisha magumu ya wananchi wao.

Hata haya ya makinikia naona ni maigizo tu.
Hivi ataanzia wapi kumgusa joka msaka pesa?
 
Naona Makinikia yanakinika na Watu..Rais Magufuli uchaguzi ujao ajitoe ccm atengeneze chama chake...tutampa kura...ili baada ya hapo akitumbue ccm ambacho kitakua chama cha upinzani...Au ccm nawashauri watupilie hilo jina waje na jina jipya....hili jina likitajwa mtu unaanza kuwaza jinsi kundi la watu fulani lilivyojimilikisha hii nchi...wao na watoto wao.Yaan ni kama nchi yetu iko chini ya ufalme...wa hawa viongoz wa ccm....wao na wana wao.....wanaachiana uongozi tu ili waendelee kupiga....
Na Magufuli akitoka baada ya muda kuisha litakuja jamaa jingine litupeleke huko huko.....
Magufuli nitamuona mzalendo wa kweli....kama ataifutilia mbali hii ccm.....
 
Magu hawezi kumgusa huyo. Sitarajii lolote la maana kwenye serikali ya CCM, ambao ndio waliosababisha majanga yanayotutesa.

Watu ambao wanakula hadi rambirambi za wafiwa, leo waje kuniambia wana uchungu na maisha magumu ya wananchi wao.

Hata haya ya makinikia naona ni maigizo tu.
Ndio watu ambao hamuamini pia kama kuna kifo. Ni kati ya watu wa ajabu kuwahi kutokea. Chenge asiguswe yeye ni mungu? Magu sio wale mliowazoea
 
769505f036a87af25875f8e86e281b06.jpg

Hii ni hatari sana kwa huyu mchawi anayeitwa ccm, tangia uhuru hadi leo nchi hii haijawahi kutawaliwa na chama kingine isipokuwa ccm.

Mikataba yote ya kuibia wananchi imesainiwa na ccm. Ufisaidi wote ambao umefanyika nchini umefanyika china ya serikali ya chama cha mapinduzi.

Watu ambao wameibia nchi hii hadi kugeuka shamba la bibi wote ni makada wa ccm. Leo tunaambiwa Acacia haikuwa imesajiliwa, inashangaza nchi yenye usalama wa taifa, vyombo mbalimbali vya dola, yenye intelejensia ya kugundua mikutano ya vyama vya upinzani kuna watu waliopanga kufanya funjo au walikusudia kufanya uovu mbaya, leo tunaambiwa kampuni iliyokuwa inasafirisha makontena hadi 270 kwa wakati mmoja haijasajiliwa ni kituko.

CCM ndio waliofanya yote haya, badala ya kutuomba radhi watanzania leo wanaibuka na mbwembwe za uongo kwamba wao wanatetea wananchi ila wapinzani ndio wanatetea wezi. this is not serious. siku zote mchawi ujibaraguza harakaharaka ili aonekane ana huruma kumbe ni yeye aliyeuwa

CCM ndio waliologa nchi wasijifanye waganga wa kutibu nchi. Ni wao waliopiga meza ndioooooooooo akiwemo naniiiiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom