Nani hao? Aliens au?Wenyewe ndio wameleta hio shida
Bado uko in denial stages?Wenyewe ndio wameleta hio shida
Uko kwenu Kenya mtamfanyia hivyo askari....naskia huwa mpka mnawakunjaa na kuwafanya mtakavyo...hongereni sanasana
Sisi huku kwetu TZ huwa hatuna demokrasia...ukimfanyia hivyo askari utajuuutraaaa.....utakula marungu na vipepsi+mashutii utaomba pooooo..
zitakuja gari kma 100 hv Za FFU kumpa kipondo mtu mmoja tu....
Hongereni kwa kuwaburuza polisi huwa wanaboa sanaa hao
These idiots are breaking into people's homes, beating them to death, raping women and using live ammunition protesters. Ukiwaletea adui wa kweli, al kebab, hawapo. Which "real " picture are you referring to?
Nchi gani kati ya kenya na tz inaongoza kwa askari kuua wananchi wa kawaida?Uko kwenu Kenya mtamfanyia hivyo askari....naskia huwa mpka mnawakunjaa na kuwafanya mtakavyo...hongereni sanasana
Sisi huku kwetu TZ huwa hatuna demokrasia...ukimfanyia hivyo askari utajuuutraaaa.....utakula marungu na vipepsi+mashutii utaomba pooooo..
zitakuja gari kma 100 hv Za FFU kumpa kipondo mtu mmoja tu....
Hongereni kwa kuwaburuza polisi huwa wanaboa sanaa hao
Nahisi wanaelekea lodge,hyo facial expression ya huyo dada inaleta ukakasi kidogo,hayo macho alivyoyafumba na mdomo alivyouweka utafikiri amekalia something cylindlical.mpk nijue amembeba anampeleka wapi...hao watu hawaaminiki
Hii picha kwa nini ni half?
Nahisi wanaelekea lodge,hyo facial expression ya huyo dada inaleta ukakasi kidogo,hayo macho alivyoyafumba na mdomo alivyouweka utafikiri amekalia something cylindlical.
Anhaa.hapo nimeelewa.Alikua anamuondoa kwenye vurugu LA mabomu ya machozi baada ya makabiliano baina ya polisi na waporaji kwenye mtaa unaoitwa Kawangware
they won't dare reply to this postThese idiots are breaking into people's homes, beating them to death, raping women and using live ammunition protesters. Ukiwaletea adui wa kweli, al kebab, hawapo. Which "real " picture are you referring to?