Manyawera
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 567
- 1,103
Alikua anamuondoa kwenye vurugu LA mabomu ya machozi baada ya makabiliano baina ya polisi na waporaji kwenye mtaa unaoitwa Kawangware
Jamaa kiswahili yako imenyoroka kama raia wa bongo. au unatokea pwani nn Yakhe