luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,325
- 6,868
Habarini wadau,
Jana ni siku ambayo Taifa kulikuwa na activities nyingi, mambo ya siasa majina ya waliopitishwa na chama chao, ila katika ulimwengu wa sports ni ujio wa wachezaji wa Yanga toka DRC lakini pia urejeo wa mtu aliyewahi kuwa CEO wa Simba SC, somebody Senzo.
Basi katika kuperuzi nikaona video ya mahojiano baina ya somebody Senzo na wanahabari wakiwa airport.
Yaan wale wanahabari waliomhoji wapo weak sana; yaani walishindwa probing questions, walishindwa ku-connect matukio yaliyojiri na kumuhoji mhojiwa , yaani in fact bloggers wapigwe msasa.
Changamoto pia lugha imawapiga vyenga sana. Tenses zinachanganywa humo kama mkorogo wa Congo.