Wanahabari Kuweni Makini na Mrisho Gambo Anasaka Cheap Popularity; Diwani Monduli Atoa Angalizo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanahabari Kuweni Makini na Mrisho Gambo Anasaka Cheap Popularity; Diwani Monduli Atoa Angalizo!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by KAMBOTA, Aug 6, 2011.

 1. K

  KAMBOTA Senior Member

  #1
  Aug 6, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Habari kwa hisani ya www.novakambota.com

  Ikiwa ni siku moja tangu tovuti iripoti juu ya madai ya Mrisho Gambo ktukanwa na mmoja wa madiwani wa Monduli aitwaye Isaack Caprion, juhudi za tovuti hii kupata undani wa undani wa sakata hilo zimeendela kuzaa mtunda baada kufanikiwakuzungumza na mmoja wa madiwani kutoka Monduli ambaye pia ni mtu wa karibu wa Bw Issack.
  Diwani huyo amemwambia mwandishi wa habari hii kuwa Bw Issack hakuwahi kumtukana wala kumtumia message Gambo…….”ndugu mwandishi nimemuuliza huyo Issaack na ameniambia yeye hajawahi kumtukana wala kumtumia message Bw Mrisho Gambo bali waliwahi kukutana kwa mazunumzo na kamwe hajawahi kumtukana , wanahabari kuweni makini na Gambo yaelekea ansaka umaarufu wa bei chee ndiyo maana amekuja na zushi huu” aliakaririwa Diwani huyo.
  Tovuti hii imefanikiwa kuzungumza na wadau mbalimbali kuhusiana na sakata hilo ambalo linazidi kuchukua sura mpya ambapo wengi wao wametoa wito kwa CCM kuwa na tabia ya kusuluhisha migogoro inayojitokeza ndani ya chama wao kwa wao badala ya kusubiri au kukimbilia kwa vyombo vya habari na mitandao ya kijamii hatua ambayo inazidi kubomoa badala ya kujenga.
   
 2. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Mrisho Njoo Vipi Arusha Yaelekea Mtandao Wao Mkubwa hawakutaki Njoo Utuondolee Zungu kwenye Jimbo letu Wahi nafasi ni Chache Na Zungu atakukabidhi Kiti Kesha anza kuandamwa na Kashfa za UDA na Viwanja Wa Kumuachia ni Wewe Sasa wewe endelea huko Arusha EL Akumalize!
   
 3. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Wafu wawazike wafu wao.
   
 4. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  As long as anachotuambia kina ukweli, hatujali kama anatoa hayo kwa kutafuta popularity (cheap or otherwise). Watu wajikite katika kujadili ukweli au uongo wa hoja zake, siyo madhumuni ya kutoa kauli zake. Hata kama itadaiwa kwamba ni kibaraka sisi hatujali, kwa sababu wanaotumwa kusema ni wengi mradi tu wanasema ukweli.
   
Loading...