Wanafunzi wengine 1,775 wa mwaka wa kwanza wapata mikopo

haa haa hii ndo serikali ya wanyonge. kwa sasa kipaumbele ni chato. jk tunakukumbuka sana kwa kweli...
 
haa haa hii ndo serikali ya wanyonge. kwa sasa kipaumbele ni chato. jk tunakukumbuka sana kwa kweli...
daah kipindi akihutubia bunge kwa mara ya mwisho nilitoa chozi asee alituaga kwa huzuni kweli yan
tutamkumbuka sana japo naye alikua na mapungufu lukuki
 
Dah mnaosoma sa hivi mna raha sana sisi tuliosoma vyuo 2010 kuteremka mkopo ilikuwa tabu sana
 
Back
Top Bottom