Wanafunzi wanavyomuangalia vibaya raisi, ipe maneno hii picha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi wanavyomuangalia vibaya raisi, ipe maneno hii picha

Discussion in 'Jamii Photos' started by howard, Dec 13, 2011.

 1. howard

  howard Senior Member

  #1
  Dec 13, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jamani kikwete yupo saba saba kwenye maonyesho ya uhuru nimeshindwa kuelewa hawa watoto mbona wameamua kumuangalia raisi kwa mtindo huu????? watoto hawana furaha.jpg
   
 2. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #2
  Dec 13, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,648
  Likes Received: 464
  Trophy Points: 180
  watoto hawa hawajachukia ila nahisi hawajala kabisaaaaaa njaaaaa jamani njaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 3. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #3
  Dec 13, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,184
  Trophy Points: 280
  Hivyo ndivyo vichwa, halafu vikim-judge rais vinaona "Rais mwenyewe ndiye huyu?".

  Lakini poker face kwetu ni kawaida, kwa hiyo it's more like Kikwete kashindwa ku break the ice than anything else, pengine watoto waoga.

  In any case, hii ni picha moja tu, sio hata video, kwa hiyo hatujui kama picha ya sekunde iliyofuata wote walicheka au la.
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Dec 13, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ndio zetu hapo si ajabu wameambiwa waseme maisha mazuri na ccm inajitahidi kuendeleza kutoa elimu..
   
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  Dec 13, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Bila shaka hao wanafunzi kuna swali wamemwuliza huyo mwalimu **** akawa anawadanganya. Kazi kweli kweli na kwa hali hii sidhani kama tuta oboa!
   
 6. Ngararimu

  Ngararimu Senior Member

  #6
  Dec 13, 2011
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  watoto wa chadema hao angalia hata sare waliyovaa - BLUE - WAO WANAJUA KUWA RAISI WA NCHI HII NI DR. WILBROAD SLAA sasa wanashangaa huyu nani tena mbona anatudanganya kuwa yeye ni raisi wakati hakushinda uchaguzi???? kaaazzzziiii kweli kweli
   
 7. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #7
  Dec 13, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  hasa huyu wa mwisho kulia...............ni kama vile anasema..........."kwani asitulete hivi vifaa kule mashuleni badala yake vipo hapa kwenye maonyesho tu?"
   
 8. shanature

  shanature JF-Expert Member

  #8
  Dec 13, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 718
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kama wanasema vile jitu zima,,,,,,,,,,,h*****o
   
 9. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #9
  Dec 13, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,604
  Likes Received: 4,727
  Trophy Points: 280
  Hawa watoto ni kuwa wamemdharau, halafu wanaogopa kuwa muda wowote anaweza kuwaangukia,si unajua huyu jamaa anaangukaga kama kifa ulongo?
   
 10. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #10
  Dec 13, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  wamemnunia si aliwambaa wanapata mimba kwa ajili ya kiherehere chao
   
 11. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #11
  Dec 13, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  ****** kwa porojo na madaha wala humuwezi,...sasa hapo ndio anafanya nini?
   
 12. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #12
  Dec 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Huyo karibu na kamera kulia ni kama anasema hivi:HILI BABA SIKUJI JK LINANIKELA YAANI NATAMANI LIONDOKE SAS HIVI HAPA..LIONEE ALAFU KASONYA KIMOYOMOYO..
   
 13. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #13
  Dec 13, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mi nilikiwepo, actually, alisema huyo dogo.
  Jamaa ndo akawa anajaribu kujibu kwa kigugumizi.
  Akasema, wanafanya kwa hatua, wamejenga madarasa, watanunua madawati, watanunua vitabu, walimu watafuata, maabara, nyumba za walimu.
  Dogo akauliza utakapomaliza hicho cha mwisho itakuwa mwaka gani??
  Mkwerre akachekaaaaa.......akasema tunajaribu....taratibu tutafika.
   
 14. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #14
  Dec 13, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  Mkuu, umenifurahisha sana!!
   
 15. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #15
  Dec 13, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  si unamuona lakini ameegemea meza.
   
 16. dony2680

  dony2680 JF-Expert Member

  #16
  Dec 13, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  hata mavi yanarangi ya magwanda ya cdm na yenyewe ni cdm?
   
 17. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #17
  Dec 13, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Wanamuogopa?
   
 18. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #18
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  lab imekarabatiwa na kupangwa kwaaajili ya ugeni mzito, siku ya pili tripod stands,resistor etc zote zinarudi kabatini hapo mnakuja kuziona tena siku ya national exam
   
Loading...