Wanafunzi wanapoenda field fafutayo huwakuta mara nyingi sana.

luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
371
Tanzania ni nchi ya ajabu na watu wake ni wa ajabu sana, nimeexprience mambo mengi tangu nipo field na sasa nafanya kazi, nimepita mashirika mengi kidogo na nimejifunza kitu,kuna baadhi ya mashirika sanasana ya serikali wanafunzi wanaokwenda field mara nyingi huwa wanatumwatumwa tu na kuonwa kama kwamba hawawezi kufanya chochote kitu ambacho sio kweli na wanasahau wamejifunza vipi,mashirika mengine huwapa uhuru wa kujifunza na hii inatokana na policy ya kampuni, wengine huwa hawawapi cha kufanya na hawawalipi kabisa yani ulivyoingia ndivyo unavyotoka sometime hata chai hupati, mashirika mengine wanawasaidia sana wanafunzi, wanawapa uhuru na kuwalipa kwa siku au kwa mwezi sanasana mabenki, wengine mwanafunzi akiwa msichana na akaonekana kajahaliwa kidogo mama yangu kila afisa atafanya mazoezi na wanafunzi bila kujua hushindwa kujisimamia kwa hofu ya kibarua bila kujua kwa kujiachia au kutoka na mfanyakazi unachafua cv yako kwa maisha ya baadae,wengine huwa wavivu akshajua kaletwa na mtu mkubwa pale au akishatoka na mtu falagha basi kamaliza,wengine hushine na kupata kazi pindi wanapomaliza chuo mfano mmojawapo ni mimi!so wanafunzi mimi napenda sana niwape taadhali mnapokuja huku kuweni watulivu, weka bidii, nasema hivi kwani nimepitia na sasa nawafundihsa kazi vijana wenzangu.yangu ni hayo!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom