Wanafunzi wanaoendelea na masomo vyuoni ambao hawakuja form online za kuomba mkopo (oras) helsb

frozen

Senior Member
Aug 12, 2010
135
32
Kwa wanafunzi ambao hawakujaza form za kuomba mkopo kwa wanafunzi wanaoingia mwaka wa 2 na 3,kutokana na matatizo mbali mbali(continuing student) bodi wanasema hawatapata mkopo kwa mwaka wa masomo 2011/2012,, kuna yeyote hapa jamvini mwenye taarifa zaidi..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom