Wanafunzi waliomaliza azania high school mwaka 1997 mpo wapi?

Gokona

Member
Feb 16, 2010
62
9
mimi ni mdau niliyomaliza kidato cha sita ,Azania high school mwaka 1997,sasa naomba angalau wale wanafunzi tuliomaliza mwaka huo tutafutane katika dunia hii ya utandawazi.Tuweze kukaa pamoja hata kama siyo wote na kubadilishana mawazo .Nawasilisha hoja
 
hii hoja yako ungeipeleka kule kwenye jukwaa la elimu hapa sio pake au jukwaa ola matangazo madogo madogo....hapani MMU tu
 
Mkuu, ni vigumu kuwapata wenzako, maana wengi wao walipatwa na kiwewe na kukimbilia mafichoni baada ya siye Tambaza kuzingira shule yao na kuwapa mkong'oto wa kishikaji katika kuenzi tradition za waliotutangulia!!! Probably they're still haunted to this day. Rituals and initiation is part of life, u either agree or you don't....!!!

With a light touch bro! lol
 
Mh, nadhani miaka hiyo wewe ulikuwa ushamaliza na tayari ulikuwa unajifunza ki-Polish. Kwikwi!.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom