cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,805
kuna utaratibu wa serikali kuoffer scholarship kwa Wanafunzi mbali mbali kwenda nchi kama
China,Russia,Ukraine,India Algeria nk
Kufuatia seke seke hili la wadeni wote kutakiwa kurejesha taratibu Madeni yao,Kuna baadhi ya graduates wamepata statements zao zina deni linalofikia Milioni 90
Ukiangalia hali ya mishahara inayo tolewa katika makampuni mbali mbali na serikalini ni ngumu sana kwa deni hilo kulipika labda kwa muda wote wa maisha ya Mwajiliwa huyo na bado anaweza kufa au kustaafu na kuliacha deni
Sijajua kuna utaratibu gani ikitokea mtu amestaafu kwa uzee miaka 60 na bado hajamaliza deni lake, Je atasemehewa kiasi kilicho baki au watafuatilia mpaka pension zake?
Hii inaweza kusababisha watu kukimbia kazi zao kitu ambacho kinasemekana sio suluhisho la kudumu, kwanii HESLB wamejipanga kufualitia wadeni wake mlango hadi mlango
Dawa ya Deni ni kulipa na hii itakua ngumu kumeza.