Wanafunzi walimu wanaomaliza UDOM Kukutana waandishi wa habari J'pili kutoa tamko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi walimu wanaomaliza UDOM Kukutana waandishi wa habari J'pili kutoa tamko

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mhadzabe, Jun 24, 2011.

 1. Mhadzabe

  Mhadzabe JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2011
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 1,648
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Wanafunzi wa Mwaka wa tatu college of Education, wamekutana usiku huu chuoni hapo na kukubaliana kukutana na waandishi wa habari juu ya mambo yafuatayo; 1. Kutoa tamko juu ya waraka mpya wa serikali juu ya utumishi, ambao unawataka walimu waliotoka makazini kutumikia daraja la D baada ya kugraduate sawa na mwalimu ambaye hajaajaliwa hata kama alikuwa daraja E. 2. Kutoa malalamiko juu ya kutoridhishwa na utendaji wa CWT Kutofatilia maswala ya walimu na kuwa kibaraka wa Serikali. 3. Matatizo na manyanyaso wanayoyakabili walimu toka kwa Wkurugenzi wa Wilaya hasa wanapofatilia stahili zao. 4. Sababu za ufaulu duni kwa miaka ya hivi karibuni. 5. Maswala yote yanayohusu Elinu kwa ujumla wake. Venue ni nje ya Chuo bati la kijani kwa Aidani. Saa9 alasiri
   
 2. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,199
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Haya, kila la heri. Inaonekana wengi wao ni inservice teachers watakaoathirika na huo waraka. Hilo swala la waraka huo ni tata mno lakini anyway labda maoni yenu yatasaidia kufanya marekebisho
   
 3. n

  namboyo Member

  #3
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acheni unafiki nyie mwaka wa tatu nyie mlituchakua kwenye tume ya uchaguzi mmetuachia matatizo mengi sana vibaraka wa serekali au mna shida ya kuonekana kwenye tv.wanafiki nyie komeni ondokeni na nukusi zenu wala hela press conference hatuchangi nyie kwanza ni gamba haibiwi mtu wezi nyie mmezoe kutumika ondokeni harakaa hatuwataki nyie ni sehemu ya matatizo udom
   
 4. Mhadzabe

  Mhadzabe JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2011
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 1,648
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Hizo ni habari za uhakika kumbe! Ungejaribu hata kutumia sekunde chache kufikiri na kujadili maswala ya taaluma yako ingekuwa vema kuliko kufikiria mambo ya mda mfupi ya uchaguzi hapo chuoni kwenu. Nadhani pia wewe ni Mwl. Tarajali usitegemee uchaguzi wa serekar ya wanachuo itakusaidia matatizo utakayo yapata huko kijijini katika shule ya kata! Dah! kumbe kweli "SCHOOLING IS USELESS BECAUSE SCHOOLS ARE MAKING PEOPLE MORE STUPID" IVAN ILLICH{1926 - 2002}
   
 5. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  No comment........
   
 6. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,949
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  Tupia jukwaa la elimu basi. Lipo na hata walimu hamtembelei huko.
   
 7. m

  mikemsomali New Member

  #7
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah! It dreams no 1 can listen 2 us, its ccm govt? Pinda? e.t.c
   
Loading...