Wanafunzi wagoma wakidai kudhalilishwa kingono na walimu, polisi wawatawanya kwa mabomu

Wanafunzi nao wanapenda kuedit hizo sketi wanazoshonewa hapo shuleni na suruali zinaeditiwa kuwa "kamatia chini"...nadhani hilo ndio tatizo kuu.
 
bila ya kujua sababu ni nini?

shida mimi nimehisi "ni sketi fupi" lakini kama zinashonwa hapo na vipimo wanafahamu kwa nini uichane

kama zinashonwa hapo wana haki 100% kulalamika, ila kama zashonwa mtaani wajirekebishe washone zinazo endana na taratibu za shule.
Kuna kitu umekisahau kumbuka mwanafunzi hata akishonewa skirt na shule hao watoto ni day wakirudi mtaani wanapunguza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom