Wanafunzi wagoma wakidai kudhalilishwa kingono na walimu, polisi wawatawanya kwa mabomu

Hakuna excuse yoyote ya kumchania mtoto nguo..huo ni udhalilishaji.
Kama haifai mwambie atoe harafu mpatie adhabu inayostahili hata ikibidi afukuzwe shule.
Lakini kuchana nguo mbele ya wenzake sio poa hata kidogo.
Mi Africa sijui tukoje..tunakuwa na mambo ya kiajabu ajabu.
Kumfukuza shule mtoto siyo rahisi kama unavyoandika hapa.Hizi shule zinazofanya vizuri halafu mwisho mnakuja kusema zinaiba mitihani usifikiri zinaendekeza ujinga ujinga.Wapo very strictly.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bila ya kujua sababu ni nini?

shida mimi nimehisi "ni sketi fupi" lakini kama zinashonwa hapo na vipimo wanafahamu kwa nini uichane

kama zinashonwa hapo wana haki 100% kulalamika, ila kama zashonwa mtaani wajirekebishe washone zinazo endana na taratibu za shule.
Yawezekana zimehsonwa na shule kwa vipimo sahihi lkn wanafunzi wanazirekebisha alafu zinaenda kinyume na matakwa ya shule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bila ya kujua sababu ni nini?

shida mimi nimehisi "ni sketi fupi" lakini kama zinashonwa hapo na vipimo wanafahamu kwa nini uichane

kama zinashonwa hapo wana haki 100% kulalamika, ila kama zashonwa mtaani wajirekebishe washone zinazo endana na taratibu za shule.
Zinashonwa kisha tunazi modify
 
Sometimes Wanafunzi Huchukuliwa Kama Watoto Wadogo Na Hutumiwa Kuchafua Walimu Wenye Mitazamo Fulani Kinzani Hasa Ya Kisiasa Au Namna Fulani Ya Chuki Ili Kuwakomoa. Issue Za Wanafunzi Ni Very Sensitive Wanasikilizwa Hata Katika Upuuzi Wao. Ufanyike Uchunguzi Wa Kina Kabaini Ukweli Wa Malalamiko Yao Isije Ikawa Wamekosa Nidhamu Na Adabu Kuchafua Walimu Wao
Migomo mingi ya wanafunzi Huwa ina uchochezi Fulani nyuma yake.Wanafunzi mpaka wagome lazima kuna organisation Huwa imefanyika.Wanaochaniwa nguo Wala sio shule hiyo tu shule nyingi sana wanachana,ila kama wamefikia hatua ya kugoma shule nzima inabidi kuliangalia tatizo Kwa jicho la tatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limelazimika kutumia mabomu kuwatawanya wanafunzi wa shule ya sekondari Majengo baada ya kugoma kuingia madarasani kwa kile walichodai ni kudhalilishwa kingono na kuchaniwa nguo na walimu wao.

Hatua hiyo imekuja mara baada ya wanafunzi hao kugoma kuingia darasani, kukataa kula chakula na kukusanyika mbele ya ofisi ya Mkuu wa shule hiyo huku wakitaka uongozi wa shule kufanya utatuzi wa sakata hilo.

Wakizungumza na Mtanzania Digital leo Ijumaa Februari 8, baadhi ya wanafunzi hao wamesema wamechoshwa na vitendo hivyo vya kikatili na udhalilishwaji wa kingono huko wakilitaka jimbo Katoliki la Moshi na Waziri wa Elimu Joyce Ndalichako kuingilia kati.

Kiongozi wa serikali ya wanafunzi wa shule hiyo Gasto Lucas, amesema kuwa vitendo hivyo wanavyofanyiwa ni vya kudhalilisha utu wao kinyume na taratibu za nchi na wanapoulizia inakuwaje vitendo hivyo vinafanyika wanapigwa.

Kwa upande wake mwanafunzi Anithe Asenga amesema walimu wamekuwa wakiwanyanyasa wanafunzi wa kike na kuwadhalilisha huku wakichawachania sketi zao mbele na sehemu za kwenye mapaja.

“Tangu tumefungua shule hii ni sketi ya tatu nachaniwa tu jamani na sketi nimeshoneshewa hapa hapa shuleni nimelipia sh.20000 kwa kila sketi, “amesema.

Aidha akizungumza kwa niaba ya uongozi wa shule ya sekondari Majengo Mwalimu Mukindia Stephen amesema kuandamana siyo suluhisho hivyo aliwataka wanafunzi hao watawanyike warudi majumbani na uongozi wa shule utakaa na uongozi wa serikali ya wanafunzi kuzungumzia suala hilo.

Chanzo: Mtanzania
Sisi wenyewe tumesoma hapohapo...mnapewa sare mnaenda kuibana kwa wasichana wanaikata na kuibana ionyeshe shepu...mkishtukiwa na walimu mnanuna na kuwa wakali. Majengo students are not that innocent kwa kweli...japo siwezi kukataa juu ya udhalilishwaji..huenda upo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanafunzi wengi waliowahi kuandamana,mara nyingi wao ndio wakosaji halafu wanajifanya hawajui kosa lao liko wapi. Hivyo wanatengeza njia ya kutokea wakijifanya wanaonewa
Mwisho wa siku Huwa wanaishia kupewa Suspension na kufukuzwa.Kuna shule moja ya private inafanya vizuri kweli.Wanasema Kila jambo au malalamiko lazima ufuate utaratibu maalum wa kuliwasilisha ukiwa na sababu maalum.Na kuna Sheria ipo pale tena inafuatwa vizuri kwamba yeyote atakayeanzisha mgomo ,Basi sentante pede inamhusu.(Unafukuzwa at the sport) shule ipo very discipline na watoto wanafanya vizuri miaka yote na hakuna shida wanaenjoy maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sishabikii au kuunga m
Sina hakika kama wewe ni mwalimu!!!

Kuna principle walimu wanaijua katika kudeal na baadhi ya makosa kwa mwanafunzi hasa ikifikia mahali anakuwa concord!!! Na hii pia huwa inatumiwa na maaskari sehemu ambayo kuna maandamano!!

Tusiwe wepesi wa kuhukum!! Watoto nao wa siku hizi ni shda kama ilivyoshida kwa walimu wa siku hizi so ili kubalance story uchunguzi utaonyesha nani konk zaidi ya mwenzie

Sent using Jamii Forums mobile app
Siwaungi mkono hawa watoto..na ukiweka logic yakawaida nikweli wanafunzi walikuwa wanavaa isivyo..tofauti na maelekezo ya shule.
Nisicho kisapoti hata kidogo nikuwachania nguo hadharani.Hii nisawa na kuwavuwa nguo..adhabu kama hii sidhani kama inafaa.
 
Na hii umesema kweli mie kipindi nikiwa A level kuna migomo mingine tulikuwa tunaifanya kw makusudi kabsa na aliwahi kuja mkuu wa wilaya tukaanza kuwasingizia walimu kwa mambo ambayo hawafanyi... Wanafunzi pia huwa wanalazimisha uhuru fulani wanasahau kuwa wao ni wanafunzi!! Na hakika wakifanya uchunguzi yawezekana ikawa kweli ama uongo.... Mwanafunzi nae siku zote ni mwanafunzi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Shule nyingi ambazo wanafunzi wanataka matakwa yao yafuatwe kama wanavyotaka wao na si kama taratibu zinavyotaka Huwa hazifanyi vizuri kitaaluma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo kuzichana ni adhabu sahihi?, sheria zipo wazi mwanafunzi akienda kinyume adhabu stahiki itolewe si kumchania mtu nguo hapa huwa walimu wanapoteaga kabisa njia

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unachaniwa suruali Bila sababu? Unafikiri mpaka inafika kuchaniwa suruali au sketi Huwa ni first warning? Mara nyingi wanaochaniwa Huwa ni wale walioshindikana na kuwaonyesha wenzao kuwa wao hawawezi kufanywa chochote hivyo kueneza sumu kidogokidogo.Hiyo shule ingekuwa shule kama Seminari ya kikatoliki halafu watoto wamegoma wakati pia upande wao kuna makosa ingefanyika demo moja matata hapo watoto wasingerudia tena kufanya makosa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna excuse yoyote ya kumchania mtoto nguo..huo ni udhalilishaji.
Kama haifai mwambie atoe harafu mpatie adhabu inayostahili hata ikibidi afukuzwe shule.
Lakini kuchana nguo mbele ya wenzake sio poa hata kidogo.
Mi Africa sijui tukoje..tunakuwa na mambo ya kiajabu ajabu.
Sasa ukimuambia aitoe maana yake si aivue kabisa?hamna tuhuma za kingono hapo hivyo vitoto vya majengo vihuni kuvaa nguo fupi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gazeti limekosa weledi kwa kutaja jina la Mwanafunzi waliefanya nae mahojiano
 
Sina hakika kama wewe ni mwalimu!!!

Kuna principle walimu wanaijua katika kudeal na baadhi ya makosa kwa mwanafunzi hasa ikifikia mahali anakuwa concord!!! Na hii pia huwa inatumiwa na maaskari sehemu ambayo kuna maandamano!!

Tusiwe wepesi wa kuhukum!! Watoto nao wa siku hizi ni shda kama ilivyoshida kwa walimu wa siku hizi so ili kubalance story uchunguzi utaonyesha nani konk zaidi ya mwenzie

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza nguo Huwa haichanwi Bila sababu na lazima huyo mwanafunzi Huwa anapewa muda wa kurekebisha Ila anakaidi na ndio dhahama ya kuchaniwa Huwa inafuatwa.Hiyo kesi ya Majengo wanafunzi kama wamegoma Kwa mhemko tu wakae wakijua watashindwa na kuna watu watapigwa Suspension

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Point, hao mabinti wa majengo sec wakishonewa sketi wanapunguza, kusoma hawataki wanashinda redstone na black diamond, wazazi wakiwatafutia hostel hawataki wanaenda kupanga magheto ili wawe huru, waalimu wana kazi sana. Hilo kuzalilishwa kingono limeongezwa tu ili kuwakata maini waalimu. Hao watoto hawasomi ni ujinga ujinga tu, wakazi wa Moshi wanalijua hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu St Francis ikiwapita wanaanza kusema St Francis wanaiba mtihani.Mwanafunzi anashonewa sare nzuri ye anaenda kuipunguza utafikiri anaenda kufanya kazi ya ubarmaid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom