Wanafunzi,wafanyakazi dom mgomo,wanafunzi iringa mgomo kunani huy"mgomo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi,wafanyakazi dom mgomo,wanafunzi iringa mgomo kunani huy"mgomo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jan 11, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,061
  Likes Received: 5,552
  Trophy Points: 280
  "waweza jiuliza ni nani huyu mgomo?
  Kila sehemu kaamua kumwagika yeye je ni kidudu mtu ??je ni nani mwenye matatizo kati ya serikali na huyu mgumu?
  Vyuo vingi sasa vimeamka na kujua kumbe haki inapatikana kwa maandamano na migomo
  enyi serikali....,mna shida gani jamani

  jana kwa waliosikiliza redio one ungetamani kulia na nilitoa machozi alipohojiwa naibu waziri husika pale alipoambiwa kuna mgoomo wa wafanyakazi chuo cha udom nini soln yake
  alinisikitisha alipoambiwa mishahara ya watu imekatwa wakati hazina wametoa hela za mishara ya mopya akatoa mfano mtu analipwa laki nane mshara anapewa laki sita..hii laki mbili inakwenda wapi wakati imetoka hazina.??akadai ni swala la kufwatilia ni jambo dogo sana hilo alikuitaji kugoma
  shame on you naibu waziri sikutaka hata kujua jina lake

  lingine mfanyakazi mmoja alidai kuna mshahara ya watu inaletwa wakati wamekufa na wengi wanajulikana sasa hizi pesa zinaenda wapi na wengine majina yao yapo kule hazina lakini awafanyakazi hapa unaweza kuona wizi wa hawa watu walivyo alilalama mfanyakazi mmoja wa udom

  mnamatatizo gani nchi hii jamani..udsm wametoka kwa mgomo ardhi mgomo hivi hizi pesa zinatoka hazina za mama zenu ama baba zenu mnaanza kugawana zikifika vyuon...nakumbuka chuoni kulikuwa na upuuzi mmoja hela ya afya kama laki watu wakaingangania kumbe zilikuwa fixed account tukaambiwa serikali wamegoma kutoa nakumbuka mgomo uliopita awatausahau pesa walipozitolea so kwa ujumla msipogoma haki zenu mtazipata makaburini

  nawatakia mgomo mwema usio na wa wala doa
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,467
  Likes Received: 4,126
  Trophy Points: 280
  kwa mwendo huu tunaoenda nao hii migomo haiishi!
   
 3. F

  Fredovico New Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umefikawakati kila mtu atambue haki zake za msingi na kuzidai bila wogo. umefikawakati haki za wanyonge zisiendele kulaliwa na wachache. Wakati ndio huu. Poleni sana Lecturers wetu tunawapenda sana tukopamoja kuhakikisha hawa watu wachache wanang'oka.
   
 4. F

  Fredovico New Member

  #4
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umefikawakati kila mtu atambue haki zake za msingi na kuzidai bila wogo. umefikawakati haki za wanyonge zisiendele kulaliwa na wachache. Wakati ndio huu. Poleni sana Lecturers wetu tunawapenda sana tukopamoja kuhakikisha hawa watu wachache wanang'oka.
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,061
  Likes Received: 5,552
  Trophy Points: 280
  kabisa na sie tusiache kuwasapoti kwenye yale maji yetu wanayoturushia sijui ya maiti mungu wangu
   
 6. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  sio udom tu mpaka kwenye mahalmashauri Pesa za marehemu zinaliwa mbaya mno unakuta mfanyakazi kafariki miaka 10 lakini mshahara unaflow mpaka leo hii!nchi imekwisha hakuna usimamizi wa pesa za walipakodi!
   
Loading...