Cvez
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 4,345
- 13,078
Shule za serikali ni utopolo tu hiyo nguvu walimu wa nidhamu wanayoitia kwa Wanafunzi wangedirect katika academics ingewatosha kufaulisha.Shule za Serikali ndio maana mitoto hufeli
Ikiwemo hiyo Iyunga Tech
Jirani tu hapo kuna shule ya watoto wa matajiri toka nchi nzima ya St Francis ambako wazazi wanao uwezo hata wa kununulia watoto wao simu ya milioni lakini hawawapi na simu shuleni marufuku hawaruhusiwi kuwa nazo na wanatii lakini shule ya wanafunzi maskini mtoto anakomaa awe na ki Nokia torch chake mwalimu akikataza anamwita mnoko!!! Na kuchoma ofisi
Njoo matokeo sasa St Francis darasa zima Division one Iyunga Tech aibu hata kuandika matokeo
Maskini akipata matako hulia mbwata.Kwa hiyo kuwa na hicho kisimu Nokia torch ndio mwajiona wa maana na kuona mwalimu anayekataza hopeless hadi kuchoma ofisi? Maskini na watoto wao wana safari ndefu.Ushauri wangu maximum kama unampenda mtoto jitahidi umpeleke shule za private strict hizo za umma kama Iyunga zenye mitoto isiyojitambua waachie
Unakuta Mwalimu haingii mwezi mzima darasani, unaingia mitihani ya Taifa kuna topics hujawahi kufundishwa (unaomba Mungu usikutane na swali la topics ambazo hujasoma), kuna practicals hujawahi fanya na Mwalimu husika haulizwi wala kuwajibishwa wao wapo kukimbiza wanafunzi kuishi kama digidigi tu.