Wanafunzi wa zaidi 1000 vyuo vikuu wajiunga na CCM

honestly, ni kwamba sijawahi kuwachukulia hawa wananfuzni seriously, maana I have seen enough na wananfunzi wa bongo, siku nilipowaona wamevaa uniform za ccm mbele ya Muungwana, basi ulikuwa ndio mwisho wangu kwa hiyo siwezi tena kuwashangaa! Maana bado ninakumbuka zile polss zao wakati uchaguzi wa rais.
 
Ngoja na mimi nianze kupondea JF kama wanasisiem hapa

yaani inakuwaje sasa hivi ni wanasisiemu tu ndio wanachangia hapa kwenye mtandao? inabidi kuwe na balance? hii JF inaanza kukosa muelekeo sasa, mbona hakuna vyama vingine hapa?

yaani huyu KadaMpinzani yuko all over na analeta tu mambo ya sisiemu? hii JF imekosa mwelekeo. BTW mbona watu wanakuwa banned kisha wanarudi na majina mengine?
 
hiyo ni bongo ya darisalam bwana, kila mtu ni msanii na anajikuna pale mkono unapofika......zitto ana mapesa?? toka lini mkono mtupu ukalambwaaa? its a simple calculus....you go with the WINNERS!!.
 
Sisi emu wana mbinu zote za kupambana maana sasa hivi wemekuja na sera ya kuandaa makada kuanzia nasary school. Hii ni sawa na mtoto unazaliwa kwenye familia unabatizwa ukiwa mdogo. Kama mtoto anaanza kuwa muumini wa CCM kuanzia chekechea mnategemea inakuwa je? Inamaanisha CCM inamizizi mirefu nakumbuka zamani kulikuwa na mabalozi wa nyumba kumi na juu ya nyumba yake kunabendera ya CCM. Kama kweli CCM watarecruit vijana kuanzia chekechea kuwa makada hapo mimi nitawalaumu lakini kama hawa wanafunzi wa vyuo ni watu wazima, wasomi na akili zao kama wameamua kujiunga na CCM ni wametumia haki yao ya msingi.

I am sure wangekuwa wanafunzi 200 wamejiunga na Upinzani hapa ingekuwa na hadith nyingine kabisa na kuwasifia kuwa sasa watu wamepata uelewa. Sidhani kama waliambiwa usipo jiunga na CCM hupati mkopo maana Mkopo sio mali ya CCM.
 
Sisi emu wana mbinu zote za kupambana maana sasa hivi wemekuja na sera ya kuandaa makada kuanzia nasary school. Hii ni sawa na mtoto unazaliwa kwenye familia unabatizwa ukiwa mdogo. Kama mtoto anaanza kuwa muumini wa CCM kuanzia chekechea mnategemea inakuwa je? Inamaanisha CCM inamizizi mirefu nakumbuka zamani kulikuwa na mabalozi wa nyumba kumi na juu ya nyumba yake kunabendera ya CCM. Kama kweli CCM watarecruit vijana kuanzia chekechea kuwa makada hapo mimi nitawalaumu lakini kama hawa wanafunzi wa vyuo ni watu wazima, wasomi na akili zao kama wameamua kujiunga na CCM ni wametumia haki yao ya msingi.

I am sure wangekuwa wanafunzi 200 wamejiunga na Upinzani hapa ingekuwa na hadith nyingine kabisa na kuwasifia kuwa sasa watu wamepata uelewa. Sidhani kama waliambiwa usipo jiunga na CCM hupati mkopo maana Mkopo sio mali ya CCM
.

naona umeuliza maswali meeengi na kujijibu mwenyewe ! thats great !!!!!
ahh, kumbe wewe mtoto wa mkulima !
 
naona umeuliza maswali meeengi na kujijibu mwenyewe ! thats great !!!!!
ahh, kumbe wewe mtoto wa mkulima !

Kada bwana! na wewe huwa hulalagi maana kila mara uko hapa tutakufungia tena uanze ujunior sijui safari hii utakuja na jina gani (I am kidding)

Mkuu hapo sio nauliza na kujibu bali natoa maelezo ya kuwa hawa vijana wa chuo hawajalazimishwa kujiunga bali wametumia haki yao ya msingi kuchagua chama wanachokipenda na kuona kinawafaa. Kada umenipataa?
 
Hapo nimekupata, and this is what i was saying too ! kwamba wametumia haki yao ya msingi kama watanzania kujiunga chama walichokiona kinawafaa !

haya bana mie naenda kulala !
gud naiti !

alamsiki !
 
Mr. kadaMpinzani,

wale wanaohamia hawajielewi, ndiyomaana wakati wakianza migomo, wale wale wenye jezi za kijani ndio wanageuka kipinga chama hicho na sera zake. sasa kama kwa maneno wanafanya vile na kwa matendo tofauti, si hao wanaburuzwa tu na mawazo ya watu wengine na si wao.

kumbuka Diamond wakati kikwete akigombea, ukumbi ulijaa, na watu wakabaki nje, ila sasa baadaye wakageuka na kuishtumu. je haya ni mawazo ya mtu makini?
 
Sisi emu wana mbinu zote za kupambana maana sasa hivi wemekuja na sera ya kuandaa makada kuanzia nasary school. Hii ni sawa na mtoto unazaliwa kwenye familia unabatizwa ukiwa mdogo. Kama mtoto anaanza kuwa muumini wa CCM kuanzia chekechea mnategemea inakuwa je?

Mkuu Mtoto wa Mkulima,

Heshma mbele, hii ni hoja nzito sana, mimi ningekuwa mwanasiasa wa upande wa pili ningelilia sana kuanzishwa sheria ya kupiga marufuku hili, sasa hivi.
 
Mkuu Mtoto wa Mkulima,

Heshma mbele, hii ni hoja nzito sana, mimi ningekuwa mwanasiasa wa upande wa pili ningelilia sana kuanzishwa sheria ya kupiga marufuku hili, sasa hivi.

Mkuu I salute you. Yeah ni kweli nakumbuka kunasiku nilisoma kuwa kuna mpango kama huo lakini wanasiasa wa upande mwingine wao wamekaa kimya tuu.
 
Nimeshasema jamani mkopo si mali ya CCM.Nasisitiza tena si wote wana mapenzi ya kweli na hiyo ccm ila tu kwa sababu ccm iliwafanyia umafia tangu mwanzo wakapigika.CCM wabaya sana na hao jamaa wameamua kusaliti taifa letu.Ni wajibu wa serikli kutupa mikopo hata kama sisi sio wanaccm.Wasituletee upuuzi wa kikoloni hapa.
 
Halafu Jk aache mchezo anasema ana mpango wa kuajiri vijana wengi kutoka vyuo vikuu ili watu waona kuna pa kuponea wakimbilie.He must be kidding kwani zile ajira milioni 2 alizoahidi za serikali amefikia wapi kwanza atupe majibu ya kuridhisha kabla hatujaanza kujengea hoja nyingine ya kuwa PENGINE ALIKUA NA HUO UWEZO WA KUAJIRI LAKINI AKAAMUA KUZIACHA ILI KUZIFANYA HIZO NAFASI MALI YA CCM.
Atekeleze wajibu wake kitaifa kwanza na kuisimamia dhamana ya kuliongoza taifa kuliko kusweat na CCM.
 
Confused. Today critics tommorow beggars. Why are u practising ucheapness naman hii? Au ndio watoto wa makada na mafisadi mnataka kuwaconvience wenzenu wajiunge na failures? Give me a break. Then 20 representing 1000. uzushi
 
Mkuu Mtoto wa Mkulima,

Heshma mbele, hii ni hoja nzito sana, mimi ningekuwa mwanasiasa wa upande wa pili ningelilia sana kuanzishwa sheria ya kupiga marufuku hili, sasa hivi.

Hii haihitaji sheria mpya. In fact mtu haruhusiwi kujiunga na umoja wowote au chama chochote (sio cha kisiasa tu) mpaka awe na miaka 18 au zaidi! Sasa wenzetu wakifanya wanayotaka kufanya watakuwa wanavunja sheria waliopendekeza, kuitunga na kuipitisha wao. I hope kuna mtu atawashtua mapema. Tatizo mojawapo la wenzetu hawa wa CCM hufanya kwanza mambo halafu ndio wanatafakari!
 
Haya mambo ya kupondea JF yatakushinda. Unafiki kama upo hata wewe unao kwa vile ni mwana JF. hakuna unafiki wala nini ila hii mbinu yako ya kupondea JF kwa ujumla utachemsha. JF is here to stay so jiandae for a long bitter journey hapa.

Unafiki upo, kaa chini fikiria, lakini kama utaendelea kukurupuka kama ulivyokurupuka, kamwe hutasema kweli daima!

Nilichomaanisha: Iweje wewe unaedai uhuru wa kuongea na kutoa mawazo yako ujitokeze kupinga uhuru wa hao wanafunzi wa kujiunga na CCM? Kama sio unafiki nini? na hili limeongelewa ndani ya JF na wanaJF. Unafiki upo tena sana tu.
 
Mkuu punda kunani kuipondea JF kila mtundiko wako?
Kwanza ulianza kwa kuhoji credibility yetu, leo unahoji unafiki, kulikoni? Watu tuna fikira anuwai hapa.
Huo uhuru wa kutoa na/ama kupokea mawazo/maoni unaousema hapo juu ndio huo wanaoutumia hao wanaowashangaa wanafunzi wa vyuo kujiunga na sisiemu, sasa kosa lao lipi? Wanasema yale yaliyo moyoni mwao bila kificho. Kama wana mtazamo tofauti na unavyofikiri wewe basi ni halali yao, JF inaruhusu, na kama haitoshi katiba ya nchi inaruhusu jambo hilo! Wewe unaishi dunia ipi mkuu?Ndio jambo forums ilivyo, ina watu wa kila namna.
Hebu soma vizuri masharti ya kujiunga na JF pale ukurasa wa mbele, huenda ukaelimika na kuelewa hiki ninachokiandika hapa, kwa sababu wamefafanua kwa undani sana.
Tuendelee kulumbana!

Tatizo liko wapi, na mimi nimetumia fursa hiyohiyo inayotolewa na JF kuihoji JF. Kwanini isihojiwe? Kuna ubaya au imewekewa kinga?
Hayo masharti yaliyowekwa hayahusiani na hoja yangu, lakini hata kama ndiyo hivyo hayo masharti siyo msahafu, yanaweza kubadilishwa wakati wowote.
 
Unafiki upo, kaa chini fikiria, lakini kama utaendelea kukurupuka kama ulivyokurupuka, kamwe hutasema kweli daima!

Nilichomaanisha: Iweje wewe unaedai uhuru wa kuongea na kutoa mawazo yako ujitokeze kupinga uhuru wa hao wanafunzi wa kujiunga na CCM? Kama sio unafiki nini? na hili limeongelewa ndani ya JF na wanaJF. Unafiki upo tena sana tu.

Kama kuna unafiki wewe unafanya nini hapa? au wewe ndio mnafiki-in-chief? Toa pumba zako hapa za kupondea JF kama huna kazi ya kufanya nenda kaanzishe website yako uiite:

websiteyawanafikiwanaoichukiaJFnakuipondeakilamara.co.kuzimu
 
....njaa nyingine hii!

Ukweli huwa haubadiliki,
Vijana wamejiunga na CCM na wametumia uhuru wao.

Uongo unaweza kuubadilsha,
...wana njaa...
...wajinga...
...mbinu za CCM...

Ili mradi tu uongo huo unakidhi haja za fikra zako.
 
Back
Top Bottom